EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Kuna kajamaa flani kauza chips kanasifika sana humu kwa mada za mahusiano yasiyo rasmi na kamejiapiza kuzaa watoto wa3 kwa wanawake tofauti mwaka huu. na kanadai tayari mmoja ameshapata ujauzito kamebakisha wawili NAKAKUMBUSHA TU hao wawili wasipopatikana hadi april lengo linafeli
Ni siku kadhaa sijakaona humu JF. Kuna anayejua kalipoenda, kasijekua kamedanchi kwa ngoma????
Zero IQ
Ni siku kadhaa sijakaona humu JF. Kuna anayejua kalipoenda, kasijekua kamedanchi kwa ngoma????
Zero IQ