EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
[emoji28][emoji28][emoji28] kadanchi ghafla, ila kuna siku kalifunguaga uzi kanadai single mama kamloga sijui nn, kanifungia ndani nalishwa vinono yaan sipati muda wa kuundika uzi naandika tu hardtalk fulani kisha napotea, naona single mama kambana haswa hata simu hashikiKuna kajamaa flani kauza chips kanasifika sana humu kwa mada za mahusiano yasiyo rasmi na kamejiapiza kuzaa watoto wa3 kwa wanawake tofauti mwaka huu. na kanadai tayari mmoja ameshapata ujauzito kamebakisha wawili NAKAKUMBUSHA TU hao wawili wasipopatikana hadi april lengo linafeli
Ni siku kadhaa sijakaona humu JF. Kuna anayejua kalipoenda, kasijekua kamedanchi kwa ngoma????
Zero IQ
wamefilisi mtaji πππππ
watamuua aisee maana si kwa kupenda papuchi kiasi kileInawezekana alifumaniwa wakamchapa, maana kwa papuchi hajiwezi yule kaka yetu.
ma singo mama hawachelewi kuloweka hadi simu na laptopπππ[emoji28][emoji28][emoji28] kadanchi ghafla, ila kuna siku kalifunguaga uzi kanadai single mama kamloga sijui nn, kanifungia ndani nalishwa vinono yaan sipati muda wa kuundika uzi naandika tu hardtalk fulani kisha napotea, naona single mama kambana haswa hata simu hashiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kajamaa flani kauza chips kanasifika sana humu kwa mada za mahusiano yasiyo rasmi na kamejiapiza kuzaa watoto wa3 kwa wanawake tofauti mwaka huu. na kanadai tayari mmoja ameshapata ujauzito kamebakisha wawili NAKAKUMBUSHA TU hao wawili wasipopatikana hadi april lengo linafeli
Ni siku kadhaa sijakaona humu JF. Kuna anayejua kalipoenda, kasijekua kamedanchi kwa ngoma????
Zero IQ
[emoji23][emoji23][emoji23]ma singo mama hawachelewi kuloweka hadi simu na laptopπππ