No SQL
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 7,063
- 12,563
Hawapati muda wa kucheza mechi za maanaYupo Manula na Benno, ongeza Metacha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawapati muda wa kucheza mechi za maanaYupo Manula na Benno, ongeza Metacha.
DuhPia ngoja nikupe wasifu wa diarra uko alikotoka na wewe utupe wasifu wa uyo ayoub wako uko alikotoka ili twende sawa Kama unavyotoka;
DJIGUI DIARRA kafanya yafatayo alikotoka;
-kacheza kombe la Dunia under20 timu ya Taifa ya Mali akiwa kipa namba 1, na kuiwezesha kufika nusu fainali uku akidaka penalty 2 kwenye robo fainali dhidi ya ujerumani!
-Amecheza fainali AFCON under23 akiwa kipa no.1 wa timu ya Taifa ya Mali!
-kwenye tuzo za caf 2015 aliorodheshwa kwenye (5)Bora ya magolikipa Bora chipukizi barani Africa!
-Diarra kacheza timu ya Taifa ya wakubwa 2016 CHAN na kuisaidia timu ya Taifa ya Mali kutinga hatua ya fainali dhidi ya congo uku diarra akipangusa penalty 3 katika mechi 6 alizocheza kwenye michuano iyo!
-2020 diarra aliisaidia timu yake ya Taifa ya Mali kutinga Tena fainali ya CHAN walicheza dhidi ya Morocco na kuweka rekodi ya kucheza dk 365 bila kuruhusu goli ikiwemo kupangusa penalty muhimu kwenye hatua ya nusu fainali dhidi ya guinea!
-diarra kacheza hatua ya 16 Bora michuano ya AFCON mwaka 2019 akucheza mechi zote kwa dk 90!
-Diaara akiwa kwao aliondoka akiwa amebeba makombe 5 ya LIGI kuu Mali, makombe 2 ya Mali super cup, makombe 3 ya Malien cup(FA),
Nafikiri nasubilia pia utuletee cv ya bwana lakred uko alikotoka alichokifanya kabla atujakuletea wasifu wa Diarra hapa alipo na alichokifanya!
Rage ajengewe sanamuAyoub Lakred na Diarra hawawezi kufanana kwa vitu vingi tu, kuanzia profile zao kimpira, bei zao sokoni, mishahara yao, na viwango vyao. Hebu niambie, ukiachana na ligi ya bongo huyo Diarra kafanya nini huko alikotoka?
Kama tunamsifia Diarra kwa kuangalia alichokifanya haoa bongo, basi hata kwa Ayoub tuangalie anafanya nini kwa hapa bongo (bila kuangalia kacheza mechi ngapi)
Kwa vigezo hivyo vichache tu hapo juu, Ayoub Lakred amemuacha mbali sana Diarra.
Akikujibu nitag mkuuPia ngoja nikupe wasifu wa diarra uko alikotoka na wewe utupe wasifu wa uyo ayoub wako uko alikotoka ili twende sawa Kama unavyotoka;
DJIGUI DIARRA kafanya yafatayo alikotoka;
-kacheza kombe la Dunia under20 timu ya Taifa ya Mali akiwa kipa namba 1, na kuiwezesha kufika nusu fainali uku akidaka penalty 2 kwenye robo fainali dhidi ya ujerumani!
-Amecheza fainali AFCON under23 akiwa kipa no.1 wa timu ya Taifa ya Mali!
-kwenye tuzo za caf 2015 aliorodheshwa kwenye (5)Bora ya magolikipa Bora chipukizi barani Africa!
-Diarra kacheza timu ya Taifa ya wakubwa 2016 CHAN na kuisaidia timu ya Taifa ya Mali kutinga hatua ya fainali dhidi ya congo uku diarra akipangusa penalty 3 katika mechi 6 alizocheza kwenye michuano iyo!
-2020 diarra aliisaidia timu yake ya Taifa ya Mali kutinga Tena fainali ya CHAN walicheza dhidi ya Morocco na kuweka rekodi ya kucheza dk 365 bila kuruhusu goli ikiwemo kupangusa penalty muhimu kwenye hatua ya nusu fainali dhidi ya guinea!
-diarra kacheza hatua ya 16 Bora michuano ya AFCON mwaka 2019 akucheza mechi zote kwa dk 90!
-Diaara akiwa kwao aliondoka akiwa amebeba makombe 5 ya LIGI kuu Mali, makombe 2 ya Mali super cup, makombe 3 ya Malien cup(FA),
Nafikiri nasubilia pia utuletee cv ya bwana lakred uko alikotoka alichokifanya kabla atujakuletea wasifu wa Diarra hapa alipo na alichokifanya!
Awezi maana hoja Hana ni mihemko tu!Akikujibu nitag mkuu
Diarra ni mwalim wa makipa wote kwasasa hapa Tanzania.Kuna vimaneno vimeanza kusambazwa na mbumbumbu kuanza kumfananisha Diarra na kipa wao Ayoubu Lakred!
Anayeweza kuwalinganisha wawili hao kwa sasa kwa maana ni Kama unalinganisha kichuguu na mlima!
Unamlinganisha kipa aliyefanya vizuri kwenye mechi 3 dhidi ya kipa aliyeonyesha ubora wake miaka 2 mtawalia!
Ukienda kwenye rekodi bado Ayoubu ni cha mtoto mbele ya Diarra, Diarra kaisaidia timu yake kucheza fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika akiwa na kiwango Bora kabisa na akiwa ni miongoni mwa makipa wa kisasa!
Kachaguliwa na caf kuwa miongoni mwa makipa 10 Bora wa afrika utamlinganishaje na Ayoubu?
Mambo ya kucheza kwa kiwango Cha juu Diarra ni mambo anayoyafanya Kila mechi na imeshakuwa kawaida kwake ndio maana ikitokea akacheza vibaya mechi moja lazima ajadiliwe, habari za kuokoa penalty kwenye hatua muhimu kwake siyo story Tena ishakuwa ni kawaida kwake na ashathibitisha ilo!
Unapataje ujasiri wa kuanza kuwalinganisha hawa wawili? Misimu 2 mfululizo kaisaidia timu yake kubeba ubingwa wa Tanzania akiwa na kiwango Bora uku akiibuka kuwa kipa Bora wa msimu!! unaanzaje kuweka mlinganisho?
Nenda kaangalie timu ya Taifa ya Mali kikosi chote kina wachezaji 2 tu wanaocheza barani Africa na mojawapo ni Diarra kutoka yanga! Waliobaki wote wanakipiga ulaya kwenye timu kubwa kubwa!
Nafikiri kiwango Cha uelewa wa mpira tunatofautiana Kuna wale bendera fuata upepo mashabiki oya oya walioujulia mpira ukubwani, na Kuna wale wazee wa mihemko, pia Kuna wale wanaojua lakini wanajizima data ili wasionekane tu wanampa maua yake kwa kuwa Yuko yanga!
Lakini pia huwezi kumlinganisha mchezaji aliyecheza si zaidi ya mechi kumi na baadhi yake akiwa kafanya vizuri mechi 4 halafu umuweke fungu moja na aliyecheza misimu 2 kwa ubora utakuwa una kichaa Cha mbwa!
Ayoub mmeanza kumsifia baada ya kuja kocha mpya. Kabla ya hapo, ilikuwa mkimuona kwenye first 11, mnabana kende.Ayoub Lakred na Diarra hawawezi kufanana kwa vitu vingi tu, kuanzia profile zao kimpira, bei zao sokoni, mishahara yao, na viwango vyao. Hebu niambie, ukiachana na ligi ya bongo huyo Diarra kafanya nini huko alikotoka?
Kama tunamsifia Diarra kwa kuangalia alichokifanya haoa bongo, basi hata kwa Ayoub tuangalie anafanya nini kwa hapa bongo (bila kuangalia kacheza mechi ngapi)
Kwa vigezo hivyo vichache tu hapo juu, Ayoub Lakred amemuacha mbali sana Diarra.
Kende ulibana wewe pamoja na wenzako wasiojua mchezo wa mpira ni nini (mashabiki hoyahoya).Ayoub mmeanza kumsifia baada ya kuja kocha mpya. Kabla ya hapo, ilikuwa mkimuona kwenye first 11, mnabana kende.
Na nawashauri muendelee hivyo hivyo, maana chizi haponagi Moja kwa Moja, kuna muda lazima atatibuka. Mechi nyingi zinakuja.
Hauna akiliAyoub Lakred na Diarra hawawezi kufanana kwa vitu vingi tu, kuanzia profile zao kimpira, bei zao sokoni, mishahara yao, na viwango vyao. Hebu niambie, ukiachana na ligi ya bongo huyo Diarra kafanya nini huko alikotoka?
Kama tunamsifia Diarra kwa kuangalia alichokifanya haoa bongo, basi hata kwa Ayoub tuangalie anafanya nini kwa hapa bongo (bila kuangalia kacheza mechi ngapi)
Kwa vigezo hivyo vichache tu hapo juu, Ayoub Lakred amemuacha mbali sana Diarra.
Asiye na akili hawezi kuelewa point za mwenye akili hata siku moja, subiri hoja za wajinga wenzako uzi-support.Hauna akili
Sasa Ally na save na yupo kwa sasa? Kwanini namba yake ichukuliwe na AyoubSave ambazo hata Ally Salum anaokoa nazo ni save???
Diara screen mtoboko...anaotea
Mkiitwa Mbumbumbu mnajaa upepo, ebu jitikise kifuani mara 3 mfululizo kisha jiite zero brain..Save nyepesi sana ile uliamua kunyanyuka kwenye siti kwa emotions zako tu.
WASIFU WA DJIGUI DIARRA:Save ambazo hata Ally Salum anaokoa nazo ni save???
Diara screen mtoboko...anaotea
Thamani yake sokoni ni shingapi?Mkiitwa Mbumbumbu mnajaa upepo, ebu jitikise kifuani mara 3 mfululizo kisha jiite zero brain..
WASIFU WA DJIGUI DIARRA:
DJIGUI DIARRA kafanya yafatayo alikotoka;
-kacheza kombe la Dunia under20 timu ya Taifa ya Mali akiwa kipa namba 1, na kuiwezesha kufika nusu fainali uku akidaka penalty 2 kwenye robo fainali dhidi ya ujerumani!
-Amecheza fainali AFCON under23 akiwa kipa no.1 wa timu ya Taifa ya Mali!
-kwenye tuzo za caf 2015 aliorodheshwa kwenye (5)Bora ya magolikipa Bora chipukizi barani Africa!
-Diarra kacheza timu ya Taifa ya wakubwa 2016 CHAN na kuisaidia timu ya Taifa ya Mali kutinga hatua ya fainali dhidi ya congo uku diarra akipangusa penalty 3 katika mechi 6 alizocheza kwenye michuano iyo!
-2020 diarra aliisaidia timu yake ya Taifa ya Mali kutinga Tena fainali ya CHAN walicheza dhidi ya Morocco na kuweka rekodi ya kucheza dk 365 bila kuruhusu goli ikiwemo kupangusa penalty muhimu kwenye hatua ya nusu fainali dhidi ya guinea!
-diarra kacheza hatua ya 16 Bora michuano ya AFCON mwaka 2019 akucheza mechi zote kwa dk 90!
-Diaara akiwa kwao aliondoka akiwa amebeba makombe 5 ya LIGI kuu Mali, makombe 2 ya Mali super cup, makombe 3 ya Malien cup(FA),
MAKOLOKOLO KAZI KWAKO KUSHUSHA WASIFU WA LAKRED AYOUB HAPA.
Kaa nayo huko mautopolo...WASIFU WA DJIGUI DIARRA:

Huu ndiyo wasifu wa Ayoub, hivi akili zako zina akili kweli Mkuu?Thamani yake sokoni ni shingapi?
Umepaniki vibaya sana Makolokolo Pisi Kali [emoji847]Kaa nayo huko mautopolo...
Kwishnei mbumbumbu Chali kifo Cha mende, tunakwenda na data na sio porojo za kwenye vijiwe vya kahawa mnavyodanganyana uko! Na ndio maana mangungu ataendelea kuwaongoza kwa akili hizi!Kaa nayo huko mautopolo...
Thamani ndiyo wasifu wa mchezaji? Hivi umeishia darasa la ngapi wewe?Thamani yake sokoni ni shingapi?