Djigui Diarra ataendelea kuwa kipa bora, kwa sasa hana mpinzani!

Duh
 
Rage ajengewe sanamu
Nasisitiza
 
Akikujibu nitag mkuu
 
Diarra ni mwalim wa makipa wote kwasasa hapa Tanzania.
 
Ayoub mmeanza kumsifia baada ya kuja kocha mpya. Kabla ya hapo, ilikuwa mkimuona kwenye first 11, mnabana kende.

Na nawashauri muendelee hivyo hivyo, maana chizi haponagi Moja kwa Moja, kuna muda lazima atatibuka. Mechi nyingi zinakuja.
 
Kende ulibana wewe pamoja na wenzako wasiojua mchezo wa mpira ni nini (mashabiki hoyahoya).
 
Hauna akili
 
Save ambazo hata Ally Salum anaokoa nazo ni save???
Diara screen mtoboko...anaotea
 
Sasa Ally na save na yupo kwa sasa? Kwanini namba yake ichukuliwe na Ayoub
 
Save nyepesi sana ile uliamua kunyanyuka kwenye siti kwa emotions zako tu.
Mkiitwa Mbumbumbu mnajaa upepo, ebu jitikise kifuani mara 3 mfululizo kisha jiite zero brain..

WASIFU WA DJIGUI DIARRA:

DJIGUI DIARRA kafanya yafatayo alikotoka;
-kacheza kombe la Dunia under20 timu ya Taifa ya Mali akiwa kipa namba 1, na kuiwezesha kufika nusu fainali uku akidaka penalty 2 kwenye robo fainali dhidi ya ujerumani!

-Amecheza fainali AFCON under23 akiwa kipa no.1 wa timu ya Taifa ya Mali!

-kwenye tuzo za caf 2015 aliorodheshwa kwenye (5)Bora ya magolikipa Bora chipukizi barani Africa!

-Diarra kacheza timu ya Taifa ya wakubwa 2016 CHAN na kuisaidia timu ya Taifa ya Mali kutinga hatua ya fainali dhidi ya congo uku diarra akipangusa penalty 3 katika mechi 6 alizocheza kwenye michuano iyo!

-2020 diarra aliisaidia timu yake ya Taifa ya Mali kutinga Tena fainali ya CHAN walicheza dhidi ya Morocco na kuweka rekodi ya kucheza dk 365 bila kuruhusu goli ikiwemo kupangusa penalty muhimu kwenye hatua ya nusu fainali dhidi ya guinea!

-diarra kacheza hatua ya 16 Bora michuano ya AFCON mwaka 2019 akucheza mechi zote kwa dk 90!

-Diaara akiwa kwao aliondoka akiwa amebeba makombe 5 ya LIGI kuu Mali, makombe 2 ya Mali super cup, makombe 3 ya Malien cup(FA),

MAKOLOKOLO KAZI KWAKO KUSHUSHA WASIFU WA LAKRED AYOUB HAPA.
 
Thamani yake sokoni ni shingapi?
 
Kaa nayo huko mautopolo...
 
Kaa nayo huko mautopolo...
Kwishnei mbumbumbu Chali kifo Cha mende, tunakwenda na data na sio porojo za kwenye vijiwe vya kahawa mnavyodanganyana uko! Na ndio maana mangungu ataendelea kuwaongoza kwa akili hizi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…