Mbona umeongelea mechi moja tu ya Jana ndo umemtazama ukaja na conclusion yako, vp mechi nyingine ukumtizama? Mchezaji kuwa underperformance kwa mechi moja ni kawaida sana, kumbuka yanga amecheza mechi 2 ndani ya siku 4 tena mechi ngumu ambazo wametumia energy kubwa Sana, kiufundi lazima kuwepo na wachezaji ambao wamepata fatiq kwakuwa awapati mda mzuri wa kurecover kutokana na mechi kuwa karibu Karibu, ivyo basi kiwango cha shaban juma jana ni uchovu huo, mbona mechi nyingine anaperfom vizuri, alafu unakuja kumlinganisha na Inonga ambae anacheza nafasi tofauti kabisa sijakuelewa ulikuwa unamaanisha nini, mbona kapombe wenu anacheza chini ya kiwango kwaiyo na yeye ni mchezaji mbaya?Jana kwa mara ya kwanza nilitazama mechi baina ya Yanga na Ruvu. Nilimtazama kww makini mchezaji Djuma Shaban aliyesajiliwa kwa mbwembwe na kuwekwa kurasa za mbele za magazeti.
Kusema kweli hana maajabu hata kidogo. Anapoteza mipira kizembe sana, hana utulivu mchezoni.
Mwanzo alihusishwa na kutakiwa na Simba ila baada ya kumtazama jana nimeelewa ni kwanini Simba waliamua kuachana naye badala yake wakamsajili Inonga.
Djuma Shabani ni mchezaji overrated sana.
mbona mayele mi ndo naona ni tisho anatupia magoliUsajili wa maana walioufanya utopolo ni kwa haya majamaa matatu. Sina uhakika sana kwa Makambo sijamuona akicheza sana.
Ila Djuma Shaban na Mayele hapa utopolo wamepigwa.
Utopolo wa mchangani levo yenu ni ndondo MapinduziMashabiki mandazi wa simba endeleeni kuqngalia pila Gimbi la Simba Mbovu ya wazee na watoto wa shule.
Wakina Kibu wanaocheza utadhani wana funza miguuni.
Lakini mkuu Isaac huyu Mayele mbona goli zake na goli za timu yetu pendwa zinafanana.?Jana kwa mara ya kwanza nilitazama mechi baina ya Yanga na Ruvu. Nilimtazama kww makini mchezaji Djuma Shaban aliyesajiliwa kwa mbwembwe na kuwekwa kurasa za mbele za magazeti.
Kusema kweli hana maajabu hata kidogo. Anapoteza mipira kizembe sana, hana utulivu mchezoni.
Mwanzo alihusishwa na kutakiwa na Simba ila baada ya kumtazama jana nimeelewa ni kwanini Simba waliamua kuachana naye badala yake wakamsajili Inonga.
Djuma Shabani ni mchezaji overrated sana.
Morison hapati?Unaumia ukiwa wapi? Kwasasa Mikia FC wachezaji ambao wanaweza kupata namba Young Africans[emoji172][emoji169][emoji123] ni Inonga, Bwalya,Manura,Kapombe,Mo Hussein,tena hapo wakitokea SUB,huna timu mtani[emoji38][emoji38]
Homa za vipindi huyo,hao niliowataja wana consistence,ubora usio tia shaka,japo nao wataanzia benchMorison hapati?
Mtapata tabu sana Simba nyie,wanyama pori,kelele ndiyo jadi yenu hamtupi shida.Mwezi wa kumi na mbili mtakutana tena na Yanga mjiandae kisaikolojia mnakula kipigo Cha zaidi ya Azam.Tunasubiri tuone Simba akicheza na Azam/Ruvushooting/ Namungo nk bila penati na Nyekundu Simba hapati ushindi .Asiyekubali kushindwa si mshindani.Yanga msimu huu wako sawa sawiaJana kwa mara ya kwanza nilitazama mechi baina ya Yanga na Ruvu. Nilimtazama kww makini mchezaji Djuma Shaban aliyesajiliwa kwa mbwembwe na kuwekwa kurasa za mbele za magazeti.