Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo hajaanza majeruhi yake ya kukaa nje ya uwanja mwaka mzimaJana kwa mara ya kwanza nilitazama mechi baina ya Yanga na Ruvu. Nilimtazama kww makini mchezaji Djuma Shaban aliyesajiliwa kwa mbwembwe na kuwekwa kurasa za mbele za magazeti.
Kusema kweli hana maajabu hata kidogo. Anapoteza mipira kizembe sana, hana utulivu mchezoni.
Mwanzo alihusishwa na kutakiwa na Simba ila baada ya kumtazama jana nimeelewa ni kwanini Simba waliamua kuachana naye badala yake wakamsajili Inonga.
Djuma Shabani ni mchezaji overrated sana.