Djuma Shabani aibukia Azam

Djuma Shabani aibukia Azam

Badilikeni mnatakiwa kuona fahari wachezaji wenu wakisonga mbele na kufanikiwa zaidi siyo hivi mnavyofanya. Nyie watu wa aina gani?
Mchezaji kaachwa bado una nuna so ulitaka Yanga wamtafutie timu? mbona sisi tume muacha Banda dirisha la CAF lisha fungwa au ya kwetu huyaoni?
 
Banda hata yeye alijua kitambo ni 50/50 kubaki ndiyo maana Simba waliendelea kumtunza vizuri hadi wakaenda naye Uturuki ndiyo maana hata alivyoachwa kaondoka kiroho safi hana kinyongo na mtu. Sitashangaa kama Simba ndiyo walimtafutia timu. Sasa huyu Shabani si alikuwa anaenda TFF kulalamika Yanga haitaki kumuachia?
 
Yeah goli ni kali,ila namaanisha kama jamaa alikusudia kufunga basi ana akili sana
Alikusudia kufunga ndio maana alinyanyua kichwa na kuona upenyo upo mwisho kule na kipa kashasogea kidogo..
Angetaka kutoa kross angeiweka katikati pale sababu wachezaji wa Yanga wengi walikua pale..
 
Banda hata yeye alijua kitambo ni 50/50 kubaki ndiyo maana Simba waliendelea kumtunza vizuri hadi wakaenda naye Uturuki ndiyo maana hata alivyoachwa kaondoka kiroho safi hana kinyongo na mtu. Sitashangaa kama Simba ndiyo walimtafutia timu. Sasa huyu Shabani si alikuwa anaenda TFF kulalamika Yanga haitaki kumuachia?
Umetumia kinywaji gani?
 
Back
Top Bottom