Djuma Shabani kiwango kimeshuka

Djuma Shabani kiwango kimeshuka

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Sijui nini kimemkuta ndugu yetu yaani sikumbuki ni lini alicheza katika ubora wake.

Akijaribu kwenda mbele kushambulia mara anasahau mpira nyuma. Lakini hata kukaba ni changamoto.

Leo Kibabage alikuwa anapita tu na kama kina Kazadi wangekua makini kuna kitu wangepata.

Je atarejesha kiwango chake au ndo basi tena.

Sina hakika kama Yanga wataendelea kumvumilia.
 
kiwango kilikuwa kile kile tuseme ukweli speed imepungua sana. Huyo mkongomani kilichokuwa kinamsaidia ni mbio tu, Bilashaka umri ni kikwazo
 
Sijui nini kimemkuta ndugu yetu yaani sikumbuki ni lini alicheza katika ubora wake.

Akijaribu kwenda mbele kushambulia mara anasahau mpira nyuma. Lakini hata kukaba ni changamoto.

Leo Kibabage alikuwa anapita tu na kama kina Kazadi wangekua makini kuna kitu wangepata.

Je atarejesha kiwango chake au ndo basi tena.

Sina hakika kama Yanga wataendelea kumvumilia.
Mchezaji yeyote mzuri wa kigeni akija Tanzania kuchezea hizi timu zetu za simba na yanga haimchukui muda kushuka kiwango na kupotea kwenye ramani.
Timu inayoua vipaji vya wachezaji wa kigeni kwa kiwango kikubwa ni makolowizadi. Alikuja moses phiri na kiwango hasa lakini hata mwaka haujaishaa yupo hoi. Hafai hata kuchezea lipuli. Mwingine ni john baleke, kafunga bao mbili tatu naye sasa yuko juu ya mawe.
Nasema hiviii: kolo punguzeni mambo ya wizadi waacheni vijana wacheze mpira
 
Djuma, Lomalisa, Tuisila na Moloko wanatakiwa kuuzwa au kutoongezewa mikataba.
Uko sahihi kabisa, iwapo tu Yanga inataka pia kupata mafanikio makubwa kwenye ule upande mwingine wa Klabu Bingwa Afrika.
 
Ana 40+ hawezi cheza kwa kiwango kilekile,umri ni kama pembe la ng'ombe tu haufichiki,

Refer to....Bocco,Wawa,Tambwe,Onyango,Mukoko,n.k umri umewagomea....akili inataka mwili unagoma
 
Kasi na umakini wake umepungua Hata Mechi na simba alifanya makosa yaliyogarimu mchezo
 
Sijui nini kimemkuta ndugu yetu yaani sikumbuki ni lini alicheza katika ubora wake.

Akijaribu kwenda mbele kushambulia mara anasahau mpira nyuma. Lakini hata kukaba ni changamoto.

Leo Kibabage alikuwa anapita tu na kama kina Kazadi wangekua makini kuna kitu wangepata.

Je atarejesha kiwango chake au ndo basi tena.

Sina hakika kama Yanga wataendelea kumvumilia.
Starehe za Bongo zmewaponza
 
Back
Top Bottom