Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,896
- 4,058
Sijui nini kimemkuta ndugu yetu yaani sikumbuki ni lini alicheza katika ubora wake.
Akijaribu kwenda mbele kushambulia mara anasahau mpira nyuma. Lakini hata kukaba ni changamoto.
Leo Kibabage alikuwa anapita tu na kama kina Kazadi wangekua makini kuna kitu wangepata.
Je atarejesha kiwango chake au ndo basi tena.
Sina hakika kama Yanga wataendelea kumvumilia.