Mchezaji yeyote mzuri wa kigeni akija Tanzania kuchezea hizi timu zetu za simba na yanga haimchukui muda kushuka kiwango na kupotea kwenye ramani.Sijui nini kimemkuta ndugu yetu yaani sikumbuki ni lini alicheza katika ubora wake.
Akijaribu kwenda mbele kushambulia mara anasahau mpira nyuma. Lakini hata kukaba ni changamoto.
Leo Kibabage alikuwa anapita tu na kama kina Kazadi wangekua makini kuna kitu wangepata.
Je atarejesha kiwango chake au ndo basi tena.
Sina hakika kama Yanga wataendelea kumvumilia.
Uko sahihi kabisa, iwapo tu Yanga inataka pia kupata mafanikio makubwa kwenye ule upande mwingine wa Klabu Bingwa Afrika.Djuma, Lomalisa, Tuisila na Moloko wanatakiwa kuuzwa au kutoongezewa mikataba.
Mbona umri wa Kagere na Onyango waliongopa na bado wqnadunda tu?AMEISHA KABISA.
UMRI HAUONGOPI.
Starehe za Bongo zmewaponzaSijui nini kimemkuta ndugu yetu yaani sikumbuki ni lini alicheza katika ubora wake.
Akijaribu kwenda mbele kushambulia mara anasahau mpira nyuma. Lakini hata kukaba ni changamoto.
Leo Kibabage alikuwa anapita tu na kama kina Kazadi wangekua makini kuna kitu wangepata.
Je atarejesha kiwango chake au ndo basi tena.
Sina hakika kama Yanga wataendelea kumvumilia.
Lomalisa bado mzuri.Djuma, Lomalisa, Tuisila na Moloko wanatakiwa kuuzwa au kutoongezewa mikataba.