Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Waingie sokoni kutafuta damu changa waache ubahili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lomalisa unamfaninisha na beki Gani hapo simbaKwa uongozi huu usiojua mpira na wachezaji uliopo Simba sasa hivi sio ajabu hizi tetesi za Lomalisa na Juma Shabani zinaweza kuwa kweli. Kama waliwaleta Freddy na Jobe toka nje ya nchi kwa mbwembwe kuwa ni mbadala wa Phiri na Baleke kitu gani tena kitashindikana? Na mbaya zaidi sasa hivi wanasema Freddy ni mali eti ana magoli 14 Zambia na Tanzania ana magoli zaidi ya 10 wakihesabu hata alilowafunga TRA Moshi kwenye FA Cup!!!!
Simba wakifanya mzaha kwenye usajili siwaoni wakitoka kwenye hilo shimo waliloingia. Itawachukua muda mrefu sana kutoka huko na hasa ikizingatiwa Azam anazidi kuimarika kila siku. Mzaha mzaha Simba inaweza kujimilikisha nafasi ya tatu kwa miaka kadhaa ijayo.
Sio huko sijawahi jua kuwa Hersi ni shemeji wa GSMNdio ujuwe sasa, Simba ikisajiri mchezaji wa kuvunja mkataba labda Kagera sugar, siyo wachezaji wa makombe.
Simba watamsajili djuma Shabani kama mbadala wa kapombe
Baada ya kuachana na klabu ya Yanga msimu uliopita Na kutua Azam FC, beki wa kulia raia wa Congo DR Djuma Shabani anategemea kujiunga na watani wa jadi Simba SC katika majira haya ya kiangazi.
Djuma ambae amekaa msimu mzima akiwa nje ya uwanja hapo awali alimalizana kila kitu na Azam Fc kabla ya deal hilo kuishia njiani
Simba pia wana haha kutafuta sahihi ya Beki wa kushoto wa YANGA Joyce Lomalisa ambae mkataba wake UNAELEKEA mwishoni
Bangala tayari yupo Azam Fc, Mayele yupo Pyramids Fc , Moloko yupo Libya , Djuma anaenda Simba Sc hao ni baadhi ya wachezaji waliopita Yanga Sc Kwa mafanikio makubwa.
Mohamed Hussein kamzidi kiwango huyo LomalisaLomalisa unamfaninisha na beki Gani hapo simba
Wewe huoni pesa yoyote anayotaka Eng Hersi Gharib anampa? hujajiuliza kitu hapo? Mangungu anaweza kuchukuwa pesa kwa Mo Dewji?Sio huko sijawahi jua kuwa Hersi ni shemeji wa GSM
Wewz huna akili yaani unanitajia huyo mzee ndio amzidi uwezo lomalis mutambala kweli aliewaita makolo hakukoseaMohamed Hussein kamzidi kiwango huyo Lomalisa
Heri yako wewe mwenye akili kama za viongozi wa Simba. Hamjatosheka tu kuwapelekea Simba magarasa Freddy na Jobe na sasa mnawapigia debe Lomalisa na Djuma Shabani. Waoneeni huruma mashabiki na wapenzi wa Simba mtawaua bure kwa matokeo mabovu. Kila mtu anajua Hersi hawezi kumuachamchezaji wa maana akaondoka Yanga katu asilani.Wewz huna akili yaani unanitajia huyo mzee ndio amzidi uwezo lomalis mutambala kweli aliewaita makolo hakukosea
Ana umri gani kwasasa?Simba watamsajili djuma Shabani kama mbadala wa kapombe
Baada ya kuachana na klabu ya Yanga msimu uliopita Na kutua Azam FC, beki wa kulia raia wa Congo DR Djuma Shabani anategemea kujiunga na watani wa jadi Simba SC katika majira haya ya kiangazi.
Djuma ambae amekaa msimu mzima akiwa nje ya uwanja hapo awali alimalizana kila kitu na Azam Fc kabla ya deal hilo kuishia njiani
Simba pia wana haha kutafuta sahihi ya Beki wa kushoto wa YANGA Joyce Lomalisa ambae mkataba wake UNAELEKEA mwishoni
Bangala tayari yupo Azam Fc, Mayele yupo Pyramids Fc , Moloko yupo Libya , Djuma anaenda Simba Sc hao ni baadhi ya wachezaji waliopita Yanga Sc Kwa mafanikio makubwa.
Miaka 17Ana umri gani kwasasa?
Mwanafamilia kivipi???kwani bosi alimuoa Farida,dada ake injiniai?Wasiwachukuwe hao pesa za kuvunja mikataba ya wachezaji wenye timu zao watapata wapi?
Elewa hao wachezaji ni free agent, na Simba ndio uwezo wake wa kusajili au kuchukuwa wachezaji kwa mkopo.
Mnavyoipa value Simba ukweli haupo hivyo, pesa za CAF zote huwa anachukuwa Mo Dewji.
Kinachowabeba Yanga Eng Hersi ni mwanafamilia na kina GSM, kwahiyo wanampa fungu kwa moyo mmoja hata akipata cha juu GSM wala haumii ni shemeji yake.
🤣Miaka 17
Umeandika upupu mtupuWasiwachukuwe hao pesa za kuvunja mikataba ya wachezaji wenye timu zao watapata wapi?
Elewa hao wachezaji ni free agent, na Simba ndio uwezo wake wa kusajili au kuchukuwa wachezaji kwa mkopo.
Mnavyoipa value Simba ukweli haupo hivyo, pesa za CAF zote huwa anachukuwa Mo Dewji.
Kinachowabeba Yanga Eng Hersi ni mwanafamilia na kina GSM, kwahiyo wanampa fungu kwa moyo mmoja hata akipata cha juu GSM wala haumii ni shemeji yake.
Upupu kazi yake kuwasha matakoo kama yako.Umeandika upupu mtupu
Ha ha haUpupu kazi yake kuwasha matakoo kama yako.
Wachezaji wote wawili wana uwezo mkubwa kiuchezaji na uzoefu pia. Hata hivyo, changamoto kubwa ni majeruhi yao ya mara kwa mara. Yaani kipindi cha kwanza dakika ya 10 unakuta wameumia na kuomba kutoka.na wewe umeshaamini kuwa Lomalisa anaenda Simba?