Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dk. Ayub Rioba amesema mwaka 2010, wakati wa uzinduzi wa kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika viwanja vya Jangwani, matangazo ya moja kwa moja ya tukio hilo yalikatwa wakati aliyekuwa mgombea urais wa chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, alipokuwa akizungumzia masuala ya ufisadi na kutaja takwimu
Mwaka 2010... TBC kwenye uzinduzi wa kampeni za Chadema wakati Dr. Slaa akizungumza kuhusiana na ufisadi na kutaja takwimu... TBC ilikata matangazo ya moja kwa moja kutoka viwanja vya Jangwani."
"Wote tunaweza tukawa tunachukia sana ufisadi... lakini rafiki yangu nakuambia tuna vijizi vingi sana katika hii nchi."
"Mwanafalsafa wa Kiyunani anaitwa Socrates alikuwa anatembea na taa mchana... anasema natafuta mtu mkweli. Kwenye hii jamii yetu najaribu kutafuta mtu ambaye ni honest kwa sababu kila mtu mjanja mjanja tu, muongo muongo tu."
Soma Pia: Mkurugenzi wa TBC Ayub Rioba: Rais na CCM wataonekana sana kwenye habari za TBC kwa sababu watu wengi wanataka kujua wanafanya nini
"Chombo cha habari kama TBC kinatakiwa kisimamie maslahi ya nchi. Moja ya maslahi ya nchi ni taswira ya nchi."