Naisoma360
JF-Expert Member
- Jan 23, 2015
- 821
- 491
Dah huyu hawezi kukamatwa japo kamdhalilisha anayemuiga kutokana na mavazi machafu sana na kitambi cha kutengeneza kilichokosa viwango
Mambo ya sanaa hayo mkuu.Dah huyu hawezi kukamatwa japo kamdhalilisha anayemuiga kutokana na mavazi machafu sana na kitambi cha kutengeneza kilichokosa viwango
Nimezungumzia kuhusu uchafu wa mavazi! Uchafu ni uchafu hauwezi kuwa sanaaMambo ya sanaa hayo mkuu.
Unaangalia na "kujaji" hii aina moja ya sanaa ya maonesho!
Utasemaje na zile za maandishi kama za kina kipanya etc, tena wao huongeza manjonjo zaidi watakavyo!
Pua, pua kweli. Bichwa, bichwa hasa! Si wangekuwa wanaozea segedansi?
Duh! Mkuu haulali!Nimezungumzia kuhusu uchafu wa mavazi! Uchafu ni uchafu hauwezi kuwa sanaa
Niko mochwari nawalaza wengineDuh! Mkuu haulali!
Mkuu nakuaminia. Lakini mimi na wewe twaweza kuwa kada1 ingawa idara tofauti. Wewe unawalaza lakini mimi ninawasababishia usingizi huo, kabla ya muda wangu na mimi kufika wa kulala ama kulazwa.Niko mochwari nawalaza wengine
[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nitakupa tenda kubwaMkuu nakuaminia. Lakini mimi na wewe twaweza kuwa kada1 ingawa idara tofauti. Wewe unawalaza lakini mimi ninawasababishia usingizi huo, kabla ya muda wangu na mimi kufika wa kulala ama kulazwa.