Dk. Bashiru Ally usikae kimya, muokoe Cyprian Musiba

Kama we unayo si uweke hadharani
 
Hapo UDSM ulifaulu? Basi itakuwa maajabu, hakuna SoMo linaitwa Siasa ya sayansi, ila Kuna sayansi ya Siasa,pia, hata kingereza kinakupa shida, andika "politics is dynamic" .

Kama Bashiru alifaulisha jitu la hovyo hivi, elimu Ina safari ndefu
 
Waliomtuma woote wamekula nduki.
 
Pole pole anaweza kuja kuchua nchi kuna watu watakimbia nchi hii polepole raisi waziri mkuu makonda
 
Mbavu zangu....
 
We Musiba ulitukana sana, ulitamka bila haya kwamba Membe ni Joka la kibisa, wacha Joka la kibisa likutanue na kukutafuna mbwa weweeee!.....
 
Kuna namna nyingi za uokoaji kama huu uliofanyika leo pale Kairuki
 
Sema lingine, tayari Bashiru kafanya yake kwa hatua moja kumuokoa Musiba,ombi lako limefanyiwa kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…