cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 May 12, 2023 #41 Twilumba said: We Musiba ulitukana sana, ulitamka bila haya kwamba Membe ni Joka la kibisa, wacha Joka la kibisa likutanue na kukutafuna mbwa weweeee!..... Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo sema tena.
Twilumba said: We Musiba ulitukana sana, ulitamka bila haya kwamba Membe ni Joka la kibisa, wacha Joka la kibisa likutanue na kukutafuna mbwa weweeee!..... Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo sema tena.
Katkit JF-Expert Member Joined Mar 12, 2023 Posts 1,893 Reaction score 4,641 May 12, 2023 #42 cocastic said: RIP Membe. Click to expand... Hahahahaha
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 May 12, 2023 #43 Katkit said: Hahahahaha Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
C cha unoko majuu Senior Member Joined Jul 11, 2015 Posts 131 Reaction score 75 May 12, 2023 #44 dagii said: Itatoka 2024 au 25 Click to expand... Mbona mbali hivyo tutakuwepo kweli wakati huo? Hebu fupisha muda pliz si unaiona covid 23 imeanza mambo yake kwa spidi!
dagii said: Itatoka 2024 au 25 Click to expand... Mbona mbali hivyo tutakuwepo kweli wakati huo? Hebu fupisha muda pliz si unaiona covid 23 imeanza mambo yake kwa spidi!
Twilumba JF-Expert Member Joined Dec 5, 2010 Posts 12,576 Reaction score 14,522 May 12, 2023 #45 cocastic said: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo sema tena. Click to expand... Deni lipo pale pale.....
cocastic said: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo sema tena. Click to expand... Deni lipo pale pale.....
K kakolaki JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 1,512 Reaction score 1,924 May 12, 2023 #46 Twilumba said: Deni lipo pale pale..... Click to expand... Kuna miaka jamaa mmoja wa Tanga alikua anadaiwa na NBC Bank, kila afisa wa Bank aliyekumbushia deni lile alikua anafariki, pia ikatokea kwa mzee Mzindakaya kila alikikumbusha kumdai aliishia mortuary
Twilumba said: Deni lipo pale pale..... Click to expand... Kuna miaka jamaa mmoja wa Tanga alikua anadaiwa na NBC Bank, kila afisa wa Bank aliyekumbushia deni lile alikua anafariki, pia ikatokea kwa mzee Mzindakaya kila alikikumbusha kumdai aliishia mortuary