Dk. Bashiru ampa elimu ya uongozi Freeman Mbowe

Mkuu kumbe pale ni swala la chama na sio utu dhidi ya lugha kwa ukabila duh sijafikiri kabsa hili duh bora ukabila kuliko huu uchama
Huo utu haukemewi chadema?
 
Kwahiyo unataka mbowe asimame awape zawadi au ? Kwasababu kila awamu wanayochaguliwa maanayake wanafanya yale wananchi wanapenda...hao kina makonda kama sio teuzi hakuna kilq rangi wangeacha ona wamuulize mramba na nyodo zake nini kilimkuta
 
kwa elimu gani aliyonayo bashiru wakati mbowe ndo alianza kutoa somo
 
Kwahiyo unataka mbowe asimame awape zawadi au ? Kwasababu kila awamu wanayochaguliwa maanayake wanafanya yale wananchi wanapenda...hao kina makonda kama sio teuzi hakuna kilq rangi wangeacha ona wamuulize mramba na nyodo zake nini kilimkuta
Endeleeni kurusha matusi huku mbowe akiwachekea tu
 
Heading yako imenichekesha sana. Ni sawa na mtu aandike hivi:
Magufuli amfundisha Angela Merkel uchumi.
 
Matusi na risasi/kamata kamata na marufuku batili vipi niv vitu vya kukemewa? Mwambieni "mtu" wenu akemee tabia mbaya ya utekaji na ubabe!
 
Bashiru ni mtu smart sana.
Bashiru ameacha kitendawili katika msiba wa tajiri mwafrika Tanzania. Dunia nzima imesikia na mwenye masikio amesikia ila walio elewa naamini ni wachache. Matokeo ya hotuba yake ni mwimba mkali katika siasa nchini Tanzania.

Usilolijua ni kama usiku wa giza.
 
Mbona kauli ya wazi kabisa, kuna ubaya gani kumuita mwizi mtu unayeamini ni mwizi kweli.
Kwahiyo Ikulu alitoka msukule, akaingia Jini.. Hii lugha unaiona ni sawa kabisa?

Dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…