Dk. Bashiru ampa elimu ya uongozi Freeman Mbowe

Dr. Bashiru saved the party and the executive images, which were about to turn dirty due to 'supreme illusion' of one...!!
 
Dr Bashiru ameacha funzo kubwa sana huko machame yaani kuomba msamaha pale upande wa pili unapokwazika na kauli za vijana wa CCM hata kama zilitafsiriwa ndivyo sivyo.Tuachane na double standards!! Mbowe jifunze kuwakemea vijana wako wanaotoa matusi mtandaoni na bungeni ,usisubiri mpaka watekwe.

Wanacdm matusi ni kama mlo wa siku!
Wanacdm matusi ni kama waliandikiwa dose!
Asante kwa ushauri wako kwa CDM
 
U
Acha kufananisha uupuzi wa ufipa na chama kikongwe chenyenye weledi kuhusu makonda hana hekima hata kidogo
Sio ety katafsiriwa vibaya kama anavyo dai nauhakika makonda aliulizwa muda huu kwanini unasema umetafsiriwa vibaya hawezi kujielezea zaidi ya kutoa matusi tu.
Ufipa waki iga busara za viongozi wa ccm ndio wameisha kwani hawana uwezo wa kujenga hoja bila matusi,leo mbowe akitaka amuombee msamaha kiongozi mmoja mmoja itamchukua karne nzima kwani wanachama wake na viongozi wake wanategemea matusi kuwainua kisiasa ndio ujasiri wao mfano mdogo ni mdude.Akimaliza kumtukana raisi anajisifia kuwa ni jasiri.
[/QUOTE kwani hayo matusi ya kijana na wabunge wa chadema niyapi mbona nimejitahidi kuwafuatilia sijasikia matusi au kukosoa huwa nimatusi au udhaifu huwa nimatusi namatusi gani hayo hebu tuwekeeni hayo matusi humu tuyaone na kuyasikia
 
Huu ndio ukomavu wa kisiasa tunaohitaji, kiongozi kujua kukosea na kuomba radhi. Utamaduni Huu usibaki tu kwa wazungu hata wa Africa tunaweza.
 
Dr Bashiru ameacha funzo kubwa sana huko machame yaani kuomba msamaha pale upande wa pili unapokwazika na kauli za vijana wa CCM hata kama zilitafsiriwa ndivyo sivyo.
Dr Bashiru amemuombea msamaha Makonda .

Tumeshuhudia matusi mazito kwa Spika na Rais Magufuli karibu kila siku iendayo kwa Mungu kutoka kwa wabunge vijana wa Chadema na wafuasi wao mitandaoni lakini kamwe hutasikia wakikemewa na uongozi wa chama hiko au maaskofu kama Baba Askofu Shoo.

Dr Bashiru amefungua ukurasa mpya wa kukemea aghalabu hata kauli tata za wanaccm Je ni lini katibu au kiongozi wa chadema atasimama mbele ya umma au madhabahu kuwaombea msamaha kina Lissu,Sugu,Mdee,Bulaya na wengine kama kina Mdude?

Tuachane na double standards!!
Mbowe jifunze kuwakemea vijana wako wanaotoa matusi mtandaoni na bungeni ,usisubiri mpaka watekwe.
Mbow Mh. ni ......
 
Elitwege,
Kuwa chizi siyo lazima uokote makopo...!
Andiko lako linatosha kwa mtu kukubaini kuwa wewe ni chizi tosha.......!!
Hizi propaganda za kijinga.wamfanyia nani hasa kwa kutaka kuhamisha mjadala wa RC Makonda kudhalilika kweny mazishi ya Dr.Reginald Mengi.
Kila mtu aliona Mwendawazimu mwenzio Makonda akijivua nguo hadharani lakini watu wenye HIKMA,BUSARA na MAARIFA served a day for a LUNATIC PAUL MAKONDA!!

Alikuwa ni KM wa CCM Bwana Bashiru kumwombea msamaha mpayuka hovyo baada ya kuanza KUWADHALILISHA WACHAGGA kwa lugha za kihuni. Ndipo alipoingilia kati Askofu Shoo then Mhe. Mbowe nailed the last 6 inch nail to Makonda`s coffin......!!

Makonda ni marehemu anayetembea!!! Muda utasema.
 
UNA LAANA YA BABAKO YAANI LISSU MMEMPIGA RISASI LAKINI BADO MNATAKA AWAOMBE MSAMAHA JINGA KABISA MSUKULE WEWE
 
Unaliwa 0
 
Je, mimi wataniteka lini maana nimezidi kiromo romo[emoji57].
 
Elitwege,
Kuwa chizi siyo lazima uokote makopo...!
Andiko lako linatosha kwa mtu kukubaini kuwa wewe ni chizi tosha.......!!
Hizi propaganda za kijinga.wamfanyia nani hasa kwa kutaka kuhamisha mjadala wa RC Makonda kudhalilika kweny mazishi ya Dr.Reginald Mengi.
Kila mtu aliona Mwendawazimu mwenzio Makonda akijivua nguo hadharani lakini watu wenye HIKMA,BUSARA na MAARIFA served a day for a LUNATIC PAUL MAKONDA!!

Alikuwa ni KM wa CCM Bwana Bashiru kumwombea msamaha mpayuka hovyo baada ya kuanza KUWADHALILISHA WACHAGGA kwa lugha za kihuni. Ndipo alipoingilia kati Askofu Shoo then Mhe. Mbowe nailed the last 6 inch nail to Makonda`s coffin......!!

Makonda ni marehemu anayetembea!!! Muda utasema.
Akina Mdude, Sugu siyo wapayuka hovyo?

Utatetea ujinga wa ufipa mpaka lini?
 
UNA LAANA YA BABAKO YAANI LISSU MMEMPIGA RISASI LAKINI BADO MNATAKA AWAOMBE MSAMAHA JINGA KABISA MSUKULE WEWE
Mko bize kutetea ujinga wa ufipa usionekane ! Hovyo kabisa watu nyie
 
Dr Bashiru ameacha funzo kubwa sana huko machame yaani kuomba msamaha pale upande wa pili unapokwazika na kauli za vijana wa CCM hata kama zilitafsiriwa ndivyo sivyo.
Dr Bashiru amemuombea msamaha Makonda .

Tumeshuhudia matusi mazito kwa Spika na Rais Magufuli karibu kila siku iendayo kwa Mungu kutoka kwa wabunge vijana wa Chadema na wafuasi wao mitandaoni lakini kamwe hutasikia wakikemewa na uongozi wa chama hiko au maaskofu kama Baba Askofu Shoo.

Dr Bashiru amefungua ukurasa mpya wa kukemea aghalabu hata kauli tata za wanaccm Je ni lini katibu au kiongozi wa chadema atasimama mbele ya umma au madhabahu kuwaombea msamaha kina Lissu,Sugu,Mdee,Bulaya na wengine kama kina Mdude?

Tuachane na double standards!!
Mbowe jifunze kuwakemea vijana wako wanaotoa matusi mtandaoni na bungeni ,usisubiri mpaka watekwe.
"Baba Askofu naomba utusamehe huku CCM hatukuandaa kabisa vijana kuwa viongozi na ndiyomaana leo tunavuna matunda ya hovyo kabisa" By Dr Bashiru Katibu Mkuu CCM
 
Back
Top Bottom