Dk. Bashiru ampa elimu ya uongozi Freeman Mbowe

Bawacha wanaongoza kwa matusi

Hakuna kitu inaitwa Bawacha ila kuna BAVICHA!
Hivi kuna chama zaidi ya CCM chenye MATUSI NA FUJO kuanzia UVCCM mpaka mijizee ya CCM?
Nani walio mkwida Mzee Warioba?Nani walio mzaba makofi Mzee Mwinyi?Nani walio mtukana Mzee Lowasa wakti wa Uchaguzi Mkuu 2015-----?
 
Mbowe ni kiongozi wa makampuni kadhaa na chama kikubwa Sana Tanzania nzima. So who is bashiri, obviously ni mgense fulani from unown
 
*"Erick Kabendera is not the only victim of Mage's reign of terror. He is one of an increasingly long list of opposition leaders and activists, journalists, bloggers, and civic leaders who have been targeted due to their political opinions."

Us or Else....
 
Wacha weee, umependeeeza
 
Huwezi kuwa na akili timamu ukashabikia uharamia wa maccm
 
Huyo mpumbavu asiyejitambua ambaye hata wanafunzi wake wa UDSM wameshindwa kumuelewa tangu aingie ccm hana chochote cha kumfundisha Mbowe.

Huyo mpumbavu asiyejitambua ambaye hata wanafunzi wake wa UDSM wameshindwa kumuelewa tangu aingie ccm hana chochote cha kumfundisha Mbowe.

Jikite kwenye hoja
 
Huyo mpumbavu asiyejitambua ambaye hata wanafunzi wake wa UDSM wameshindwa kumuelewa tangu aingie ccm hana chochote cha kumfundisha Mbowe.

Mbowe ameshindwa na bush boy kutoka Singida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…