Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Heshima kwenu wakuu,
Jana Mama Batilda alikuwa na mkutano kata ya Kati nashindwa kuamini kama kweli siku za kawaida wagombea wanaweza kufanya mikutano miwili.Mikutano miwili au zaidi inawezekana kufanywa siku za week end,mazingira ya mjini watu wengi muda wa asubuhi na mchana wanakuwa kwenye miangaiko mikutano huanza saa 9 au 10 jioni.
Mama Batilda ana matatizo yake hizi habari za kumchomeka maneno ili kufurahisha jamvi hakika si zuri tujiepushe na siasa za kupakana matope bila sababu za msingi.