huwezi jua mkuu people will do anything to get to the parliament!Halafu atakuwa analala nao au atawalipia tu, basi?
Nimesikia kuna mkakati kabambe wa kuiba kura hapa arusha, namwomba Ndg G. Lema na kamati nzima ya ushindi CHADEMA iweke mikakati madhubuti kwa siku hizi zilizosalia ili hata kura moja mwaka huu isiibwe au kuongeza kura feki, mwana Arusha mwenye simu ya Leme tupeane ili data tunazopata tuzitawanye kiurahisi.
Teh teh Wana JF,
Kwa akiri ya haraka haraka kabisa ni kuwa huyu Mgombea CCM jimbo la arusha mjini hukufafanua hilo la nyumba bure nacho dhani a ni kuwa mmoja atafanya mbinu zake esp kwenya swala la malipo ya kodi katka halmashauri hiyo kupunguza na watu kulipa kodi kwa bei ya chini sana na pili nilivyo mwelewa either kuna mradi unategemea kuanzisha hapo Mjini Arusha ambao wananchi wengi wa mji huo watafaidika na mradi huo wa majumba mapya na nina wasi wasi sana kama sio mradi wa PPF,NSSF au msaada kutoka Japani au China utatupiwa mkoani hapo sasa mama alisha ichungulia hiyo Deal
Tatu twasikia ati Manager Campaign wake aliye anza nae Mwalusamba -Mwenyekiti UVCCM - wilaya ya Arusha-Mjini katemwa kuwa manager Campaign na amewekwa mwingine.
Wazee, vijana na akina mama wameshtuka na WAMEAPA ATAWATAMBUA SIKU YA TAREHE 31/10/2010 kama wao ni Mazezeta au watu na akili zao
Teh teh Wana JF,
Kwa akiri ya haraka haraka kabisa ni kuwa huyu Mgombea CCM jimbo la arusha mjini hukufafanua hilo la nyumba bure nacho dhani a ni kuwa mmoja atafanya mbinu zake esp kwenya swala la malipo ya kodi katka halmashauri hiyo kupunguza na watu kulipa kodi kwa bei ya chini sana na pili nilivyo mwelewa either kuna mradi unategemea kuanzisha hapo Mjini Arusha ambao wananchi wengi wa mji huo watafaidika na mradi huo wa majumba mapya na nina wasi wasi sana kama sio mradi wa PPF,NSSF au msaada kutoka Japani au China utatupiwa mkoani hapo sasa mama alisha ichungulia hiyo Deal
Tatu twasikia ati Manager Campaign wake aliye anza nae Mwalusamba -Mwenyekiti UVCCM - wilaya ya Arusha-Mjini katemwa kuwa manager Campaign na amewekwa mwingine.
Tetesi ni kwamba, Kempski wamenunua eneo lote la makazi ya kijenge. Kinachotakiwa ni kuupiga chini mji wote wa kijenge ili yajengwe majengo ya hoteli hiyo ikiwa ni upanuzi wa iliyokuwa saba saba hotel. Hapo wanahirtji huyo mama ili asimamie urahisishaji wa kuwahamisha wakazi wa kijenge wakaanzishe mji mpya mahali nje ya mji.
Hivyo piga ua, CCM wanataka hilo jimbo. Lema ana kazi ya ziada hapo na sitashangaa Batilda kama atashinda....