Dk Godwin Mollel: Miaka 10 ni sawa na mwaka mmoja kwa Tanzania

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
Nimesikiliza hili kauli hadi nikatokwa na machozi, i can't imagine kwamba hawa ndo watengeneza dira ya 2050?

Kwamba we are too slow in such way miaka 10 ni sawa na mwaka mmoja? kwani huyu watoto wake wanasoma wapi?

Kuwa na wabunge kama hawa ni hasara kubwa sana kwa taifa.

Hujamuelewa. Ukimuelewa vizuri utaweza kumkosoa even more effectively!
 
Back
Top Bottom