SIDANGANYIKI2015
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 1,054
- 114
CCM wana madhambi yao, lakini huyu mama simpendi kabisa tabia yake. Toka pale alipoungana na madaktgari waliogoma ambapo watanzania wanyonge kwa dazani kadhaa walikufa huwa namuona hafai kabisa. Hana uzalendo. Ila naelewa kwanini anafanya hivyo. NGO hizi ni lazima ziwe hivyo kwani vinginevyo hazitapata fedha kutoka ulaya
Hee kumbe alikuwepo frontline kwenye mgomo wa madokta? na wagonjwa walioathiriwa na mgomo sikumsikia kabisa basi ni mbaguzi!kweli hizi njaa ni mbaya, sema wafadhiri ndo wanampa masharti NGO yake isife!