Elias Msuya
Platinum Member
- Dec 23, 2011
- 267
- 1,014
Mkuu hivi huyu Dk Dennis Muchunguzi ana undugu na Dennis Robert Shughuru kwasababu majina Yao ya kwanza Dennis yanafanana.Mchambuzi wa masuala ya siasa, Dk Dennis Muchunguzi amekosoa kauli za aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee aliyepitishwa na mkutano mkuu wa CCM, Januari 19, akisema ni utaratibu wa CCM kwa rais anayegombea awamu ya pili kuwa mgombea pekee.
Amesema hata Rais Magufuli alipogombea kwa mara ya pili, alikuwa mgombea pekee na waliojaribu kuchukua fomu walifukuzwa.
View attachment 3413050
Polepole alikosoa uteuzi huo katika barua yake ya kujiuzulu zliyotoa Julai 13 na baadaye kwenye mkutano na waandishi wa habari wa Julai 18 uliofanyika mtandaoni.
Polepole: Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali
Aidha, Dk Mchunguzi amesema mkutano mkuu wa Januari 18, 19, 2025 ulikuwa halali.
View attachment 3413049
Mchambuzi wa masuala ya siasa, Dk Dennis Muchunguzi amekosoa kauli za aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee aliyepitishwa na mkutano mkuu wa CCM, Januari 19, akisema ni utaratibu wa CCM kwa rais anayegombea awamu ya pili kuwa mgombea pekee.
Amesema hata Rais Magufuli alipogombea kwa mara ya pili, alikuwa mgombea pekee na waliojaribu kuchukua fomu walifukuzwa.
View attachment 3413050
Polepole alikosoa uteuzi huo katika barua yake ya kujiuzulu zliyotoa Julai 13 na baadaye kwenye mkutano na waandishi wa habari wa Julai 18 uliofanyika mtandaoni.
Polepole: Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali
Aidha, Dk Mchunguzi amesema mkutano mkuu wa Januari 18, 19, 2025 ulikuwa halali.
View attachment 3413049
Utaratibu wa kupitisha jina la samia ulifuatwa hakuna kanuni iliyokiukwa.Pamoja na mapungufu yote ya pole pole, kuhusu utaratibu na utamaduni wa ccm kuhusu wagombea urais Yuko sawa.Ccm warekebishe utaratibu wa mchakato...
Awamu ya kwanza 2015 JPM aliaminiwa kupitia huo mchakato chamani ili aongoze mihula 2.Polepole ni mnafiki tu, 2020 alikataza fomu zaidi ya moja kutolewa. Leo samia karudia yale yale eti anaumia!! Wasitufanye watoto wadogo.