Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kujenga gati katika kijiji cha Tumbatu ili kuwaondolea wananchi usumbufu wa kusafiri kufuata huduma nje ya kisiwa chao.
Akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa mpira wa Tumbatu Uvuvini, Dk. Mwinyi amesema gati hilo litakapokamilika litarahisisha upatikanaji wa huduma mbalimbali na kuahidi pia kukamilisha miundombinu ya barabara ili kuwawezesha wananchi kufanya shughuli zao kwa urahisi.