Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.Hussein Ali Mwinyi amewahakikishia wafanyabiashara ambao hawajapata mkopo unatolewa Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi(ZEEA) watapata endapo akipata ridhaa ya kuiongoza tena Zanzibar.
Kauli hiyo ameitoa wakati akizungumza na wafanyabiashara wa soko la Chake Chake lilopo wilaya ya Chake Chake mkoa wa Kusini Pemba, ikiwa ni mwendelezo wa ziara zake za kukutana na makundi mbalimbali.
“Ninawahakikishieni kwamba wale ambao hawajapata wataweza kupata safari hii lakini wale ambao wamepata wakarejesha watakapopata tena watapata kiwango kikubwa zaid kwa sababu watakuwa wameonyesha uwezo wao wa kurejesha mikopo wanayoipata,” Dk. Mwinyi