Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Harakati za ahadi zisizo wezekana kutekelezeka zinazidi kuongezeka kwa CCM!
Ila wasituone Watanzania ni wajinga tunarekodi vyote na muda ukifika watakipata wanachostaili
Mimi nipo siti ya mbele nasubiri muda ufike
===================
Mgombea mwenza wa urais wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi ameahidi ujenzi wa masoko 13 na urasimishaji wa biashara ndogondogo wa Wilaya ya Ubungo, jijini Da es Salaam.
Dk Nchimbi ametoa ahadi hiyo leo Jumatatu, Septemba 29, 2025 katika mkutano wa kampeni uliofanyikia eneo la Mabibo Hostel-EPZA, Ubungo.