Dk Salim Ahmed Salim: Mfumo wa serikali umeoza kwa rushwa

Je Salim kama ata amua ku cchagulwa Rais wetu,,nye waswahili mtakubali?..mboni ulim kashif wakati wa uchaguzi iliyopta..? Racist Africans will never accept Arabs?
Lakini yupo intellignet na apewe nafasai Tanzani will leap forward like never before!!!!!!!!!!!!SALIM FOR PREIDENT...OK...
 
πŸ™‚πŸ˜•πŸ˜•πŸ™„Je Salim kama ata amua ku cchagulwa Rais wetu,,nye waswahili mtakubali?..mboni ulim kashif wakati wa uchaguzi iliyopta..? Racist Africans will never accept Arabs?
Lakini yupo intellignet na apewe nafasai Tanzani will leap forward like never before!!!!!!!!!!!!SALIM FOR PRESIDENT...OK...
 

Niliamini kuwa Salim angeweza kuwa rais mzuri sana wa Tanzania hasa ukizingatia heshima aliyo nayo kimataifa. Lakini sasa anapoonekana kuwa mgumu kukemea maovu moja kwa moja ndani ya chama chake hadi apate
kisingizio, basi ninaaza kuwa na wasiwasi sana kuhusu uwezo wake wa kutoa maamuzi hasa yale mazito.
 
Timing mkuu wangu timing ndio muhimu sana.. Hoja za Mafisadi zilikuja mapema sana na sasa hivi umaarufu wa kina Zitto, Dr.Slaa umepwaya inabidi itafutwe mbinu nyingine..Wapiganaji wamesha nunua mada na wananchi wengi hawakumbuki asili ya mzozo huu wa Ufisadi.

Sasa fikiria kama Dr.Slaa angeliangusha kimba la mafisadi wakati huu kungekalika kweli!..Nina hakika Lowassa, Rostam na kundi zima la mafisadi wangefanya madudu mengine kibao ambayo pengine leo hii tungekuwa tumeshawachoka kabisaaa. lakini haraka z3etu zimetufikisha wapi, kimefanyika kitu gani?..NOTHIMG!... sana sana wameachishwa madaraka lakini bado wanaendeleza biashara zao kama kawaida. Wanapewa mikopo na kila baya unalofikiria bado wanafanya kama hakuna uchunguzi wowote ule unaofanyika.
Viwanja vya mijini hasa nyumba za Msajili, Kigamboni na maeneo yote yanayomilikiwa na serikali imekuwa deal kubwa kwa hao hao Mafisadi.. Wao wamesha gawana mapema sasa hivi ni wao wanaoviuza kwa wawekezaji..Ardhi baada ya madini kwisha has become source ya Ufisadi.
Niliyasema haya mwaka juzi kama unakumbuka vizuri! - Ufisadi Kwa kwenda mbele..
 

samahani sikuiona hii mapema,

Lakini mtu kama Salim hatakiwa kucheza kamari katika siasa za kitaifa eti asubiri timingi. Anatakiwa yeye awe mmoja wa waliko mstari wa mbele kuliko kusibiri watu walale ndipo aanze kupiga kelele.
 

Mhh .... inabidi sasa agombee ili rangi za hao mabaguzi zionekane wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…