Hapa kwa kiongozi bora ningeweka pesa yangu kwa huyu mtaalamu wa nyuklia(atomic?)..Dr.Mohammed Gharib Bilal .He seems RADICAL na mtu asiyeburutwa na pengine anajua anachofanya (sina hakika). Shein ni mamba asiye na meno. Shamhuna + Karume = jazba. Hao wengine waongeza idadi tu, hawana chance.
Hapo waungwana ni Shein atakayepitishwa!!! Mtaona
Hatimeye Majina ya waliochukua fomu za kugombea urais kwa tiketi ya CCM zanzibar yawekwa wazi.
yapo majina mengi lakini kilichonivutia ni jina la Dr. Shein na Shamsi Vuai Nahodha.
Kwa maoni yako kati ya Dr. Shein na Shamsi ni nani zaidi na kwa vigezo vipi?
Nafikiri Dr. Shein angestaafu kwa heshima na kupumzika. Ni kiongozi asiye na kashfa katika Muungano, jambo ambalo si dogo. Hivyo kama angeamua kupumzika siasa angejijengea heshima kubwa sana katika jamii
Nafikiri yale mafao anayostahili yanamtosha kuishi kwa raha maisha yake yote bila kusumbuana na mtu

Haya, tunasubiri