Dk Shika hivi alitumwaga kuharibu mnada kwenye nyumba za Said Lugumi?

Dk Shika hivi alitumwaga kuharibu mnada kwenye nyumba za Said Lugumi?

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Nchi yenye vituko na maisha ambayo kila siku yakiwa vituko.Kipindi kile cha mnada wa kuuzwa nyumba ni kama huyu mzee kwa sasa ni marehemu alivyo kuja kuchekesha na story zikaishia hapo.

CCM itakupendeza zaidi
dsdsfdsfasfds.jpg
 
Ni kama upepo wa kesi ya kina Chuma walomnyima maji bint wa yombo

Wamehukumiwa maisha hakuna anayekumbuka tena yule alowatuma kufanya vile kaishia wapi
 
Back
Top Bottom