Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Mar 15, 2025 #1 Nchi yenye vituko na maisha ambayo kila siku yakiwa vituko.Kipindi kile cha mnada wa kuuzwa nyumba ni kama huyu mzee kwa sasa ni marehemu alivyo kuja kuchekesha na story zikaishia hapo. CCM itakupendeza zaidi
Nchi yenye vituko na maisha ambayo kila siku yakiwa vituko.Kipindi kile cha mnada wa kuuzwa nyumba ni kama huyu mzee kwa sasa ni marehemu alivyo kuja kuchekesha na story zikaishia hapo. CCM itakupendeza zaidi
Mwizukulu mgikuru JF-Expert Member Joined Oct 21, 2021 Posts 6,788 Reaction score 16,227 Mar 15, 2025 #2 Mjomba wake na rafiki yangu wa kweli
Sun Zu JF-Expert Member Joined Mar 16, 2022 Posts 761 Reaction score 2,115 Mar 15, 2025 #3 Ni kama upepo wa kesi ya kina Chuma walomnyima maji bint wa yombo Wamehukumiwa maisha hakuna anayekumbuka tena yule alowatuma kufanya vile kaishia wapi
Ni kama upepo wa kesi ya kina Chuma walomnyima maji bint wa yombo Wamehukumiwa maisha hakuna anayekumbuka tena yule alowatuma kufanya vile kaishia wapi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Mar 15, 2025 #4 Mbele yake nyuma yetu... Cc: Mahondaw
torvic JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 4,490 Reaction score 11,194 Mar 15, 2025 #5 Mia saba itapendeza