Dk Slaa amchochea Lissu kuasi chadema

Dk Slaa amchochea Lissu kuasi chadema

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Hii hapa
 

Attachments

  • Ggycde6XIAAlyyL.jpeg
    Ggycde6XIAAlyyL.jpeg
    138.6 KB · Views: 1
Hivi vipeperushi vyenu vya kufungia mihogo nani anavisoma,yaani kugombea uenyekiti ndiyo uasi? Hivi hawajui ndiyo wanazidi kumharibia Mbowe? Kitendo cha CCM na serikali yake kumsapoti Mbowe moja kwa moja kinamuondolea sifa ya kuchaguliwa tena.
 
Ndugu we bakiaga na Kina Netanyahu. Huku waachie wenyewe.
 
Ccm bhana!

Hivi mnajua ccm kuwepo kwenu hapo juu ni kuwalazimisha wananchi??

Hampendwi afadhari ya Mbowe

Mnakuja na vipeperushi vyenu vya kfungia mandazi kwa lengo la kumchafua anayetakiwa na si tu wanachadema, bali watanzania wengi

Aibu kwenu
 
Dr. Mihogo kashajichokea. CCM wamemtumia washamdamp sasa hivi anaweweseka pa kushika kisiasa.
Lissu anajimaliza zaidi kishirikiana na huyu Dr. Mihogo.
 
Back
Top Bottom