Dr Slaa hakuridhika na jinsi mbowe alivyokuwa akiongoza chama. Sema miaka ile utasema nini juu ya mbowe na ueleweke?Natamani slaa na lisu waungane
Duh! Kumeanza kuchangamka kwa kasiHii hapa
kabisa mkuu na mbowe alitufanya wajinga sana ila sasa barafu limeyeyuka ni ama aruhusu chadema iwe ya wanachama wote au ibaki ni ya kwake peke yakeDr Slaa hakuridhika na jinsi mbowe alivyokuwa akiongoza chama. Sema miaka ile utasema nini juu ya mbowe na ueleweke?