Elections 2010 Dk Slaa on Clouds FM

lile swala la Muungano anaainisha sera za chadema, na ansema hawana mpango wa kuuvunja sbb muunganio ni wa tangu enzi na enzi lazima ulindwe
 
Haki za wasanii...zitalindwa kwa sheria ambazo zipo tayari....kwa mujibu wa Dk. Slaa

Muungano: kwamba Muungano sio wa kujadili maana ni wa kihistoria tangu mwaka 800 {BC}

tatizo watz wameaminishwa aina ya Muungano pekee tuliyonayo ni hii (serikali 2)

Kuwe na serikali 3 ya tanganyika, Zanzibar, na ya Muungano........
 
anaongelea muungano km sera ya chadema ilivyo, kuundwa kwa serikali tatu, kutokana na mchakato utakavyooenda, anasema mgogoro kuhusu mafuta utatuletea shida, watawaachia mafuta wawe na manufaa nayo 100%
 
anachambua aina za muungano
anatoa hofu ya upande mmnoja kumezwa, chadema watakuwa na serikali tatu. ya znz, tgnyk na muungano
ya muungano itakuwa ndogo itashughuklikia ulinzi, fedha, intl. relations na mengine yatakayokubliwa
 
Siamini watu wa Masaki kuuliza maswali.

Kuna mlevi mmoja anasema matatizo ya Tanzania ni ya Afrika nzima. Ni kama vile anataka Dr. aongelee jinsi ya kutatua matatizo ya Afrika nzima, badala ya kujikita Tanzania.

kajibiwa kuwa slaa ni rais wa watanzania!!
 
tatizo la muungano wa sasa watu hawapewi ruhusa ya kuuongelea.
Katiba mpya itakayoundwa itatatua utata huo
 
Nawafagilia sana clouds kwa hatua hii ya aina yake. Wamefanya tendo la ujasiri sana. Sasa tusubiri comments binafsi za Hando
 
Ivi bado makamba hajalitolea tamko hili?
Nimesikia Kinana ataongea leo saa saba mchana huenda akajibu hilo la ujenzi wa matundu manne ya choo kwa shilingi milioni 700
 
Hivi hamjiulizi kwa nini lipumba hapewi hizi chances? (amepoteza ile karisma ya kukubalika)
tunajua kikwete alizikataa mwenyewe.
ila kwa hakika dr. slaa ni mjenzi makini wa taifa.
Mungu amemtangulia na nina imani kwa ke kubwa sana

ninyi ccm wala msitunishe misuli ya shingo, tunawapenda, pigeni kura kwa slaa tujenge nchi pamoja. mbona tulikuwa pamoja nanyi mlipokuwa madarakani???
hii sio kenya hii ni tanzania ambayo ina wazalendo
 

mpotezeeni huyu jamani anzisha thread yako unaharibu majadiliano yet na mjadala wa clouds na dr slaa, kwenda zako huko umetumwa
 
Wajemeni niasidieni Clouds FM inapatikana kwenye mita bendi ipi??????????
 

Mkuu mimi nahisi labda hata wao wametambua kuwa mshindi ni Slaa au Kikwete. na sbb sisiM wamezikataa hizi chances basi unampa yule aliyetayari kuzipokea. Pia ni kuvuta wateja, maana hata mm huwa sisikilizagi hii kitu kabisa, ila sababu nilipaka ka sms tok kwa rafk yangu nikabeba kasimu kangu kenye FM radio. baada ya kipindi kuisha tu, nimekaswitch off
 
Baada ya mahojiano mmh wakatupia katangazo ka jk ka kiusaniiii, hii miwatu bwana!
 
asanteni sana maana mliotuhabarisha

tuna kazi moja tu hapo octoba 31 nayo ni kumwondoa mtu dhalimu
 
Kagonga nyundo msumali wa mwisho kwenye jeneza la Chama Cha Mafia (CCM). Tukutane na presida mpya Nov 2010
 
Jamani naomba msaada station ya Clouds FM inapatikana kwenye mita bendi ngapi????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…