Elections 2010 Dk Slaa on Clouds FM

Elections 2010 Dk Slaa on Clouds FM

[video]http://yourlisten.com/channel/content/67233/Dr._Slaa_Clouds_FM_interview[/video]

Mheshimiwa asante kwa juhudi zako lkn bado mambo sio mazuri hapa kwangu! Je unaweza ku-attach kama mp3 doc. Ukishindwa basi tena, unaweza kuacha tu nitadonoadonoa hapa na pale
 
Wanamuulizia kuhusu burudani na michezo, yeye anasema alishakimbia mita 800 na 500, na alishaweka rekodi miaka ya 70 kanda ya magharibi
Jamani tupeni na matokeo ya mechi Simba na Kagera Sugar pale Bukoba.
 
Muda si mrefu dk slaa ataanza kurindima kupitia redio ya watu. Hebu tuone hawa jamaa wameandaa vipi huu mdahalo.

Kwa hili pia nawapongeza Clouds

AUDIO (Kwa hisani ya Mfunyukuzi - JF Member)




Kaka mbona video hii yasemekana haipo??? Nimejaribu kuibofya inasema imeondolewa. Kama kuna mtu anayo tunaomba atuwekee tafadhali
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom