Elections 2010 Dk Slaa on Clouds FM


Mkuu naona umeshusha mapage kibao ya kutukumbusha mambo yaliyopita.

Mimi nadhani asiye makini ni wewe kwasababu huyu dakta ameshiriki kwenye kampeni, ameitwa kwenye runinga na redio kadhaa kwa mahojiano. Sasa kama ungekuwa kweli umeona kuwa si makini kwanini hukutuma maswali yako huko? Jamaa huwa anakuwa na vithibitisho sasa kuonyesha umakini wake sasa wewe vyako viko wapi?

Kwakweli umenipotezea muda wangu nilidhani nitapata kitu kwenye mistari yote hiyo nimetoka kapa.

Harafu hapa tunaongelea mahojiano na clouds sasa haya mapage yanahusiana kweli?

Mimi nadhani lazima tufike mahali tutenge ukweli na usanii hizi propaganda hazitatusaidii.

Unaposema udini kweli CCM ndiyo walioleta udini kwanini walidnaganya waislam na kuweka kwenye ilani yao mambo ya kadhi? Huoni huo ni udini? huoni kasheshe iliyotokea? mpaka wakachemsha!

Nenda kamuulize mwenyewe usituwekee hapa vitu visivyo na msingi.
 

I totally agree with you, kuna mtu kama Gerald Hando he is not happy with the way this country is being run and he is open about it week in week out. Nafikiri pia wakubwa wake wanaujua huo msimamo wako ila there is not a lot they can do about it.
 
Slaa ameitumia nafasi ya leo vizuri sana.. sbb alikuwa short,direcct to the point. na hakuwa akiuma uma maneno.
Binafsi nawapongeza Clouds, Hando na Babra wamejitahidi sana kuwawakilisha wasikilizaji wao vzr

hivi jamani mnajua babra vizuri?je kuna aliyewahi kumuona live? ni mwanamke asiye na mvuto kabisa na sidhani kama kuna mwanaume anayeweza kuoa, kwanza ni mlafi halafu ni mnywaji kupindukia kwa hiyo mwili wake ni kama sanamu ya michelin, i hate her
 
hivi jamani mnajua babra vizuri?je kuna aliyewahi kumuona live? ni mwanamke asiye na mvuto kabisa na sidhani kama kuna mwanaume anayeweza kuoa, kwanza ni mlafi halafu ni mnywaji kupindukia kwa hiyo mwili wake ni kama sanamu ya michelin, i hate her

ila dah...! Mtoto ana bonge la sauti ya kumkunjua nyoka
 

Off topic!
 

mods mko wapi huyu anachafua hewa?si alishaweka hii post mahala pengine jana,sasa kaamua kuichomekea pasipohusika.huu sio utoto bali uendawazimu.ushaona kichwa cha habari ni dk slaa on clouds fm,wewe unaleta sumu zako baada ya kujeruhiwa mwembeyanga.

Mods please....
 
hii audio bado haikubali hebu fanya manuva kama kule jukwaa la kikubwa unavyotuburudishaga

nakuaminia
 

Mugerezi,

Hivi tunaweza kumshtaki Kamarade kwa kutupotezea muda, topic ndefu isiyokuwa na maana. Kwani muda niliotumia ningeweza kulima hata 1/10 ya hekari.
 
Muda si mrefu dk slaa ataanza kurindima kupitia redio ya watu. Hebu tuone hawa jamaa wameandaa vipi huu mdahalo.

Kwa hili pia nawapongeza Clouds

AUDIO (Kwa hisani ya Mfunyukuzi - JF Member)


Hiki kipande cha video hakipatikani. Tafadhali tuwekee kinachozungumza.
 
Last edited by a moderator:
Duh!
yourlisten.com hawafunguki kabisa mtu aki-sign.
Hakuna alternative?
 
Ndugu yangu ulijibiwa jana lakini bado huelewi. Usiwe mbishi kama mshipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…