Sn2139 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2010 Posts 834 Reaction score 251 Oct 27, 2010 #161 Mfunyukuzi said: [video]http://yourlisten.com/channel/content/67233/Dr._Slaa_Clouds_FM_interview[/video] Click to expand... Mheshimiwa asante kwa juhudi zako lkn bado mambo sio mazuri hapa kwangu! Je unaweza ku-attach kama mp3 doc. Ukishindwa basi tena, unaweza kuacha tu nitadonoadonoa hapa na pale
Mfunyukuzi said: [video]http://yourlisten.com/channel/content/67233/Dr._Slaa_Clouds_FM_interview[/video] Click to expand... Mheshimiwa asante kwa juhudi zako lkn bado mambo sio mazuri hapa kwangu! Je unaweza ku-attach kama mp3 doc. Ukishindwa basi tena, unaweza kuacha tu nitadonoadonoa hapa na pale
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 23,566 Reaction score 24,891 Oct 27, 2010 #162 Mkaa Mweupe said: Wanamuulizia kuhusu burudani na michezo, yeye anasema alishakimbia mita 800 na 500, na alishaweka rekodi miaka ya 70 kanda ya magharibi Click to expand... Jamani tupeni na matokeo ya mechi Simba na Kagera Sugar pale Bukoba.
Mkaa Mweupe said: Wanamuulizia kuhusu burudani na michezo, yeye anasema alishakimbia mita 800 na 500, na alishaweka rekodi miaka ya 70 kanda ya magharibi Click to expand... Jamani tupeni na matokeo ya mechi Simba na Kagera Sugar pale Bukoba.
babayah67 JF-Expert Member Joined Mar 28, 2008 Posts 493 Reaction score 79 Oct 27, 2010 #163 Kingi said: Muda si mrefu dk slaa ataanza kurindima kupitia redio ya watu. Hebu tuone hawa jamaa wameandaa vipi huu mdahalo. Kwa hili pia nawapongeza Clouds AUDIO (Kwa hisani ya Mfunyukuzi - JF Member) Click to expand... Kaka mbona video hii yasemekana haipo??? Nimejaribu kuibofya inasema imeondolewa. Kama kuna mtu anayo tunaomba atuwekee tafadhali Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kingi said: Muda si mrefu dk slaa ataanza kurindima kupitia redio ya watu. Hebu tuone hawa jamaa wameandaa vipi huu mdahalo. Kwa hili pia nawapongeza Clouds AUDIO (Kwa hisani ya Mfunyukuzi - JF Member) Click to expand... Kaka mbona video hii yasemekana haipo??? Nimejaribu kuibofya inasema imeondolewa. Kama kuna mtu anayo tunaomba atuwekee tafadhali