Dk. Slaa: Simba, Yanga bure kabisa

Dk. Slaa: Simba, Yanga bure kabisa

Hawa nao!!! wakiona hawaandikwi kwenye magazeti sijui wanajisikiaje? basi watatafuta jambo ilimradi tu waandikwe andikwe. Siasa mbaya hatari.
 
Hawa nao!!! wakiona hawaandikwi kwenye magazeti sijui wanajisikiaje? basi watatafuta jambo ilimradi tu waandikwe andikwe. Siasa mbaya hatari.
mkolajiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, ulikua wapi mkuu jamvi lilikua linapauka maana jamvi bila watu laitwa sakafu
 
Hawa nao!!! wakiona hawaandikwi kwenye magazeti sijui wanajisikiaje? basi watatafuta jambo ilimradi tu waandikwe andikwe. Siasa mbaya hatari.
wewe ni mkolaji au mporaji?
 
mzee slaa wa ajabu sana anajadili mpira wakati hakucheza hata mpira wa matambala hakucheza.
interesting! Na hao wengine wanaojadili mpira akiwamo Manji mwenyekiti wa yanga walicheza hata UMISHUMITA!? Kaeleza ukweli na hatuna budi kuutafakari.

mbona chadema kinamika ishirini hata hiyo tv na jengo la makao makuu hawana.

Mkuu umenena! Aanze na boliti kwenye mboni yake kisha ataona vibanzi vya Yanga na Simba. Akigombea urais 2015 hapati kura yangu, kumbe mpuuzi hivi, sikujua!
 
Mkuu Amavubi tangu yanga watoe droo na wale wamakonde wa ntwara unaonekana umekita mizizi humu jamvin!!!!

Anafidia furaha aliyoikosa siku Simba walipocharazwa na Mbeya City, hakulala, alisimama kitandani usiku kucha.
 
Mkuu umenena! Aanze na boliti kwenye mboni yake kisha ataona vibanzi vya Yanga na Simba. Akigombea urais 2015 hapati kura yangu, kumbe mpuuzi hivi, sikujua!

Yawezekana ameanza kusoma alama za nyakati au labda anataka kuichukua nafasi ya Jamal Malinzi pale tifutifu.
 
yanga simba ni vilabu vikubwa jinga kuzipenda hivi vilabu uwe mtu kama mwendawazimu
 
Masuke Tanzania Michezo ni siasa

  1. Gulamali alienda Yanga akagombea Ifakara
  2. Shabib alifadhili simba sasa ni Mbunge Gairo
  3. Rage...........................
  4. Manji alijaribu Kigamboni
  5. Mwakalebela.............Iringa
  6. ..............sasa Malinzi anaenda Bukoba mjini na hata Kagasheki anajua
  7. you name the,...............................

ndio maan hata mpira ni siasa

Amavubi temea mate chini tafadhali.Sina nia na wala sijawahi kuwaza,kuota wala kuoteshwa kugombea nafasi yoyote ya uongozi wa kisiasa.Majukumu niliyonayo yananitosha.
 
Last edited by a moderator:
Wanasiasa bana watu wa ajabu sana, wanajifanya kila kitu wanajua. Imarisheni ya kwenu kwenye siasa, mmeshatuvuruga kwenye siasa mmetosha, msitake kutuvuruga na huku. Nyie mnapewa ruzuku ya kodi zetu lakini hakuna lolote mnafanya itabidi na sisi tuanze kuidai serikali angalau ianze kutoa ruzuku kwenye timu za ligi kuu.

Kale kamstari ka mwanzo pale juu nakakakubali ndio maana ikiitwa "mwanasiasa" angalia pande zote
 
Masuke Tanzania Michezo ni siasa

  1. Gulamali alienda Yanga akagombea Ifakara
  2. Shabib alifadhili simba sasa ni Mbunge Gairo
  3. Rage...........................
  4. Manji alijaribu Kigamboni
  5. Mwakalebela.............Iringa
  6. ..............sasa Malinzi anaenda Bukoba mjini na hata Kagasheki anajua
  7. you name the,...............................

ndio maan hata mpira ni siasa

Kagesheki anajua ili iweje? Maana Malinzi na Kagasheki wametokea majimbo tofauti.
 
Back
Top Bottom