Ngoja nimfowadie aje akuone.....Lol ila kama ina ukweli fulani hivi eeeghhimo humu imajeaa tele, haijapigwa marufuku kusambazwa
mkolajiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, ulikua wapi mkuu jamvi lilikua linapauka maana jamvi bila watu laitwa sakafuHawa nao!!! wakiona hawaandikwi kwenye magazeti sijui wanajisikiaje? basi watatafuta jambo ilimradi tu waandikwe andikwe. Siasa mbaya hatari.
interesting! Na hao wengine wanaojadili mpira akiwamo Manji mwenyekiti wa yanga walicheza hata UMISHUMITA!? Kaeleza ukweli na hatuna budi kuutafakari.mzee slaa wa ajabu sana anajadili mpira wakati hakucheza hata mpira wa matambala hakucheza.
wewe ni mkolaji au mporaji?
mbona chadema kinamika ishirini hata hiyo tv na jengo la makao makuu hawana.
Mkuu Amavubi tangu yanga watoe droo na wale wamakonde wa ntwara unaonekana umekita mizizi humu jamvin!!!!
Mkuu umenena! Aanze na boliti kwenye mboni yake kisha ataona vibanzi vya Yanga na Simba. Akigombea urais 2015 hapati kura yangu, kumbe mpuuzi hivi, sikujua!
Masuke Tanzania Michezo ni siasa
- Gulamali alienda Yanga akagombea Ifakara
- Shabib alifadhili simba sasa ni Mbunge Gairo
- Rage...........................
- Manji alijaribu Kigamboni
- Mwakalebela.............Iringa
- ..............sasa Malinzi anaenda Bukoba mjini na hata Kagasheki anajua
- you name the,...............................
ndio maan hata mpira ni siasa
Wanasiasa bana watu wa ajabu sana, wanajifanya kila kitu wanajua. Imarisheni ya kwenu kwenye siasa, mmeshatuvuruga kwenye siasa mmetosha, msitake kutuvuruga na huku. Nyie mnapewa ruzuku ya kodi zetu lakini hakuna lolote mnafanya itabidi na sisi tuanze kuidai serikali angalau ianze kutoa ruzuku kwenye timu za ligi kuu.
Masuke Tanzania Michezo ni siasa
- Gulamali alienda Yanga akagombea Ifakara
- Shabib alifadhili simba sasa ni Mbunge Gairo
- Rage...........................
- Manji alijaribu Kigamboni
- Mwakalebela.............Iringa
- ..............sasa Malinzi anaenda Bukoba mjini na hata Kagasheki anajua
- you name the,...............................
ndio maan hata mpira ni siasa