The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,275
Natetea ukweli na haki ilipo. Wewe unaona walichofanya hawa ni sawa kumwacha kwenye mataa Waziri Mkuu?
Amma kweli.
Amejiacha mwenyewe kwenye mataa. He should use his brain, if he has any!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natetea ukweli na haki ilipo. Wewe unaona walichofanya hawa ni sawa kumwacha kwenye mataa Waziri Mkuu?
Amma kweli.
Una akili sana wewe, unatisha! Nashangaa watu wengine sijui kwa nini hawalioni hili...Kujitokeza hadharani maana yake nini? Si lazima iwe physically. Inatosha kama anaweza kuwasiliana na watu wake kama kiongozi. Kujificha kimwili si alama ya uoga au udhaifu, bali ni moja ya njia za mapambano. Kwa sababu kama akijitokeza na akakamatwa anaweza asiweze tena kama kamanda mkuu kuwasiliana na watu wake kwa vile watamnyima uhuru wa kufanya hivo. Kumbe ni sahihi kuwasiliana akiwa mafichoni.
Natetea ukweli na haki ilipo. Wewe unaona walichofanya hawa ni sawa kumwacha kwenye mataa Waziri Mkuu?
Amma kweli.
fichuka basi na wewe useme jina lako... mambaff
Mleta mada kapotosha, huu mkutano haukufanyika jana, wala juzi, huu ulifanyika kabla na Waziri Mkuu akaridhia kukutana nao Karimjee, lakini kwa kiburi hususan cha huyu mshawishiwa mmoja wakagoma kuonanan na Waziri Mkuu.
Suala hapa limebadilishwa, kwanza ilikuwa kurudishwa interns kwenye vituo vyao, limekubaliwa, kupatiwa nyumba limekubaliwa, kuongezwa malipo limekubaliwa, sasa hawa wana agenda zingine na si hayo madai yao, Kilichowafanya wakatae kuonana na Waziri Mkuu ni nini na wamgandishe Karimjee akiwangoja, hivi wanajianya wao ndio Munu na wenye kuwapa watu roho? Fnga tena kila kifo kinachosabishwa nao wahukumiwe kisheria. Kwani hawana faida yoote kwa wananchi wa Tanzania, wakumbuke kuwa wanasomeshwa kwa kodi zetu. Wasitulee kiburi chao.
Hawa wafanyiwe kama walivyofanyiwa wale wa UDSM, fukuza wote, wacha tupigane nao vikumbo mitaani. Serikali ilete madaktari kutoka kokote duniani kwa gharama zozote zile lakini hawa isiwarudishe kabisa.
Wewe jana ilikuwa siku ya kuabudu,na sio kuonana na manyang'au yasiomjua Mungu.
Acha unafiki wakutane naye wa nini ikiwa kama kila madai tyao yako kwa maandishi???? Huku kutafutana sababu tu. Think outside the box meeeeen.
Hii ni kweli kabisa wakiamua watawapukutisha wote,akija na Maralia unamdunga sindano ya omo yenye mchanganyiko na sumu,akafie mbele huko wanasiasa wao watakimbilia India
wewe si ndiye unayewaunga mkono Boko haram wao wako mitaani au wamejichimbia mafichoni maduguri? Acheni ushabiki wa (...) Leo Ulimboka angefanya hivyo wakati Slaa ni Rais ungesema haya uliyoyasema?Tuone atakaa mafichoni mpaka lini? Ananchekesha!
If anything happens to Dr, Ulimboka, PM Pinda will have to answer before his mother and father, all doctors in Tanzania, all Tanzanians and tomorrow before God the almighty!