Dk Tulia 2025 huwezi kumshinda Sugu hata ufagie mabarabara yote ya Mbeya

Dk Tulia 2025 huwezi kumshinda Sugu hata ufagie mabarabara yote ya Mbeya

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Utafagia sana

1672720982277.png

====
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson leo Januari 2, 2023 amewaongoza Wananchi wa Kata ya Ruanda Jijini humo katika zoezi la kufanya usafi katika eneo la Umati ambalo limekithiri uchafu kwa muda mrefu.
 
Ule uzi wa kuwa anapanua ile T1 iliyopita katikati ya Jacaranda city umepotea!, maana ni vijifusi vimetandazwa pembeni na mvua imevifagia!, but guy's wa Jacaranda city punguzeni bajaji maana ni uchafu ndani ya highway ile, tuelewe pedestrians, bajaji, bodaboda hawaruhusiwi kwenye highways
 
Kuna majimbo tusidanganyane huwezi shinda labda uwe mkakati wa CCM. Ukashinde jimbo la waziri mkuu, Spika? Tena kwa hali ya upinzani uliopo?

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
====
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson leo Januari 2, 2023 amewaongoza Wananchi wa Kata ya Ruanda Jijini humo katika zoezi la kufanya usafi katika eneo la Umati ambalo limekithiri uchafu kwa muda mrefu.
Kwani Sugu ndio Mgombea pekee? Hawezi kuletwa mwingine?
 
Kiukweli huyu turia ametutuliza kweli Wana mbaya

Uongo mbaya tunalia wote misiba

Mziki juu yake, chakula juu yake, ukalibu nasi wanainchi hakika Yuko vizuri Tusha sahau kuhusu sugu now
Namwombea mungu ambaliki japo wanasema hatukumchagua wanasema ukibebwa jishikilie so tuna mbeba kwani kakubali kujishikilia.

Nambatiza jina la mbeya president 🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom