Dk Tulia 2025 huwezi kumshinda Sugu hata ufagie mabarabara yote ya Mbeya

Dk Tulia 2025 huwezi kumshinda Sugu hata ufagie mabarabara yote ya Mbeya

Elimu hauitu saidii mkuu na imeshindwa kutu saidia tulipo watuma kusoma kumbe tuliwa tuma kujifunza kutuibia ndio hao hao

Wanatupaka Zia kesi
Wana tuambia utani fanya Nini?
Uongozi ni karama mkuu tuna taka watu wenye vipaji vya kutuongoza sio wasomi

Wasomi wanakwamisha mambo
🙄🙄🙄 Huyu kwamba huyu 😱😱😱
 
Utafagia sana

View attachment 2466963

====
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson leo Januari 2, 2023 amewaongoza Wananchi wa Kata ya Ruanda Jijini humo katika zoezi la kufanya usafi katika eneo la Umati ambalo limekithiri uchafu kwa muda mrefu.
Fld9krMXwAYVsAb
Watu wapumbavu ndio watamchagua Sugu..

Yaani tulia alete mabarabara ya maana Jijini na miradi lukuki then watu waje kumchagua Sugu?

Itakuwa utaahira sasa
 
Ule uzi wa kuwa anapanua ile T1 iliyopita katikati ya Jacaranda city umepotea!, maana ni vijifusi vimetandazwa pembeni na mvua imevifagia!, but guy's wa Jacaranda city punguzeni bajaji maana ni uchafu ndani ya highway ile, tuelewe pedestrians, bajaji, bodaboda hawaruhusiwi kwenye highways
Wewe acha kuropoka,mwezi huu hauishi Kutakuwa na halfa ya kutoa saizi kuanza ujenzi hapo Mbeya just wait.

Tulia Ni Spika sio Sugu wa mtaani
 
Siku hawa nao wamekuwa na MAIGIZO mengi kweli kweli.

Kuna Boya mwingine wa Mtama alifanya hivi hivi.
 
Spika atampa Jimbo kingine sugu na mchezo utakua umeisha, then nyie mtabaki mnabishana hapa
 
Wewe acha kuropoka,mwezi huu hauishi Kutakuwa na halfa ya kutoa saizi kuanza ujenzi hapo Mbeya just wait.

Tulia Ni Spika sio Sugu wa mtaani
Haya ni maoni yangu ,na nimeona mwenyewe kinachofanyika pale T1 ,mlima nyoka hivyo hivyo wametengeneza detour na imetumika kuzima moto wa ile ajali ya DED then jiiiiiiii, back tulikotoka na kituko kingine RTO kila asubuhi anatumia kodi zangu vibaya kwa kuyasindikiza long distance buses ili kuepusha ushindani ndani ya ile pass,ilitakiwa aweke fixed time speed camera 📸 kwenye ile pass, CCM tutasubiri sana na wamewakuta mazuzu
 
Kwa Kweli kilichofanyika uchaguzi ulopita inasikitisha sana,
Kama dhuluma aisee duuh!
Halafu watu wanasema wanasali Eti wameokoka?! [emoji848]
 
Haya ni maoni yangu ,na nimeona mwenyewe kinachofanyika pale T1 ,mlima nyoka hivyo hivyo wametengeneza detour na imetumika kuzima moto wa ile ajali ya DED then jiiiiiiii, back tulikotoka na kituko kingine RTO kila asubuhi anatumia kodi zangu vibaya kwa kuyasindikiza long distance buses ili kuepusha ushindani ndani ya ile pass,ilitakiwa aweke fixed time speed camera 📸 kwenye ile pass, CCM tutasubiri sana na wamewakuta mazuzu
Huko mlima nyoka Ni diversion tuu,hiyo section itajengwa Barabara ya Igawa-Mbeya ukianza Ila kwa Sasa wataanzia Nsalaga huko Hadi Airport.

Hayo unayoyasema waone wahusika wanaweza pokea ushauri.
 
Kiukweli huyu turia ametutuliza kweli Wana mbaya

Uongo mbaya tunalia wote misiba

Mziki juu yake, chakula juu yake, ukalibu nasi wanainchi hakika Yuko vizuri Tusha sahau kuhusu sugu now
Namwombea mungu ambaliki japo wanasema hatukumchagua wanasema ukibebwa jishikilie so tuna mbeba kwani kakubali kujishikilia.

Nambatiza jina la mbeya president 🙏🙏🙏
Jitu nzima linakiri kulishwa chakula na linaona sawa!
Sijui lini mapunguani mtapungua nchi hii!
 
Jitu nzima linakiri kulishwa chakula na linaona sawa!
Sijui lini mapunguani mtapungua nchi hii!
Sja zungumzia kulishwa mkuu nazungumzia namna anavyo jitoa mwenye misiba hasa kwa familia zisizo jiweza

Kwa kugaramia chakula, mziki,na magari kwa ajiri ya misiba pale mbeya

Mitaani pia tuna kutana nae kwenye vijiwe vya mabao na drafts anacheza na wanainchi

Yaani Nimtu ambae yupo karibu mno na wanainchi kiasi ambacho nirahisi kuzijua kero za wanainchi
Nimtu asiye jikweza hutembea kwamguu husalimia na kuskiliza wanainchi wenye lolote mioyoni mwao

Vile vile Kuna kitu ameanzisha kinaitwa TURIA TRUST

Hapo watu hukopa kwa Liba nafuu kuanzia vijana wa boda boda kinamama na wakulima kitu ambacho sugu hajawi kufanya

Labda hukunielewa vizuri mkuu yote kwa yote 🙏🙏🙏 kwa neno lako
 
Back
Top Bottom