Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Kwani 2020 alishinda uchaguzi? Mambo ya Magu ya kuiba uchaguzi wote hayawezi kujirudia tena nchi hii maana kitawakaMnafikiri n rahs kiivo tulia hawez tolewa pale
Watu hawaelewi kuwa wao wanapiga Kura Ila wahesabu Kura ndio waamuao Kura. Wabadilishe Kama vipi wawe wanahesabu wenyeweMnafikiri n rahs kiivo tulia hawez tolewa pale
Sawa sugu tumekuskia mzee wa kujipigia promo
Sasa mimi na degree ya sheria niwe mlinzi?Sugu anawafuga ninyi mafukara, yeye anajenga hoteli ambapo hata kazi ya ulinzi hawapi.
Kama ndio uwezo wako kufikiri kisugusugu a Form IV fsilure, tufanyeje sasa!Sasa mimi na degree ya sheria niwe mlinzi?
"atoboi" ndio mdudu gani? Kazi kuchafua lugha adhimu ya taifa letu.Sugu atoboi mbeya tena imeish iyo time will tell
Kwani Sugu ndio Mgombea pekee? Hawezi kuletwa mwingine?====
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson leo Januari 2, 2023 amewaongoza Wananchi wa Kata ya Ruanda Jijini humo katika zoezi la kufanya usafi katika eneo la Umati ambalo limekithiri uchafu kwa muda mrefu.
πππ Huyu kwamba huyu π±π±π±View attachment 2467000
Hatujasahau huyu Form Iv failure alivyo waadhiri wana Mbeya Bungeni.