Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,052
- 2,995
πππ Huyu kwamba huyu π±π±π±
Watu wapumbavu ndio watamchagua Sugu..Utafagia sana
View attachment 2466963
====
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson leo Januari 2, 2023 amewaongoza Wananchi wa Kata ya Ruanda Jijini humo katika zoezi la kufanya usafi katika eneo la Umati ambalo limekithiri uchafu kwa muda mrefu.
Wewe acha kuropoka,mwezi huu hauishi Kutakuwa na halfa ya kutoa saizi kuanza ujenzi hapo Mbeya just wait.Ule uzi wa kuwa anapanua ile T1 iliyopita katikati ya Jacaranda city umepotea!, maana ni vijifusi vimetandazwa pembeni na mvua imevifagia!, but guy's wa Jacaranda city punguzeni bajaji maana ni uchafu ndani ya highway ile, tuelewe pedestrians, bajaji, bodaboda hawaruhusiwi kwenye highways
Haya ni maoni yangu ,na nimeona mwenyewe kinachofanyika pale T1 ,mlima nyoka hivyo hivyo wametengeneza detour na imetumika kuzima moto wa ile ajali ya DED then jiiiiiiii, back tulikotoka na kituko kingine RTO kila asubuhi anatumia kodi zangu vibaya kwa kuyasindikiza long distance buses ili kuepusha ushindani ndani ya ile pass,ilitakiwa aweke fixed time speed camera πΈ kwenye ile pass, CCM tutasubiri sana na wamewakuta mazuzuWewe acha kuropoka,mwezi huu hauishi Kutakuwa na halfa ya kutoa saizi kuanza ujenzi hapo Mbeya just wait.
Tulia Ni Spika sio Sugu wa mtaani
Huko mlima nyoka Ni diversion tuu,hiyo section itajengwa Barabara ya Igawa-Mbeya ukianza Ila kwa Sasa wataanzia Nsalaga huko Hadi Airport.Haya ni maoni yangu ,na nimeona mwenyewe kinachofanyika pale T1 ,mlima nyoka hivyo hivyo wametengeneza detour na imetumika kuzima moto wa ile ajali ya DED then jiiiiiiii, back tulikotoka na kituko kingine RTO kila asubuhi anatumia kodi zangu vibaya kwa kuyasindikiza long distance buses ili kuepusha ushindani ndani ya ile pass,ilitakiwa aweke fixed time speed camera πΈ kwenye ile pass, CCM tutasubiri sana na wamewakuta mazuzu
PhumbvuHuko mlima nyoka Ni diversion tuu,hiyo section itajengwa Barabara ya Igawa-Mbeya ukianza Ila kwa Sasa wataanzia Nsalaga huko Hadi Airport.
Hayo unayoyasema waone wahusika wanaweza pokea ushauri.
Pumbavu baba yakoPhumbvu
Kwa mburura kama wewe ndio mwisho wako wa kufikiri!Aliyefeli form four hawezi kumshinda Dr Tulia
Jitu nzima linakiri kulishwa chakula na linaona sawa!Kiukweli huyu turia ametutuliza kweli Wana mbaya
Uongo mbaya tunalia wote misiba
Mziki juu yake, chakula juu yake, ukalibu nasi wanainchi hakika Yuko vizuri Tusha sahau kuhusu sugu now
Namwombea mungu ambaliki japo wanasema hatukumchagua wanasema ukibebwa jishikilie so tuna mbeba kwani kakubali kujishikilia.
Nambatiza jina la mbeya president πππ
Wivu wa kike,Jenga na weweSugu anawafuga ninyi mafukara, yeye anajenga hoteli ambapo hata kazi ya ulinzi hawapi.
Mpumbavu ni wewe,Tena kama sio msafwa wewe ni mundali.periodWatu wapumbavu ndio watamchagua Sugu..
Yaani tulia alete mabarabara ya maana Jijini na miradi lukuki then watu waje kumchagua Sugu?
Itakuwa utaahira sasa
Narudia Tena wapumbavu ndio wanaweza mchagua huyo idiot Kama wewe.Mpumbavu ni wewe,Tena kama sio msafwa wewe ni mundali.period
Sja zungumzia kulishwa mkuu nazungumzia namna anavyo jitoa mwenye misiba hasa kwa familia zisizo jiwezaJitu nzima linakiri kulishwa chakula na linaona sawa!
Sijui lini mapunguani mtapungua nchi hii!
Kuna hofu sehemu ππUtafagia sana
View attachment 2467455
====
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson leo Januari 2, 2023 amewaongoza Wananchi wa Kata ya Ruanda Jijini humo katika zoezi la kufanya usafi katika eneo la Umati ambalo limekithiri uchafu kwa muda mrefu.