GE2025 Dk. Tulia Ackson achukua fomu ya ubunge Jimbo la Uyole

GE2025 Dk. Tulia Ackson achukua fomu ya ubunge Jimbo la Uyole

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson, amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge katika Jimbo jipya la Uyole, mkoani Mbeya.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Dk. Tulia ametua jijini Mbeya muda mfupi uliopita na kukabidhiwa fomu hiyo na Justine Mwansepele, ambaye alikuwa ameichukua kwa niaba yake kama mwakilishi wa Tulia.

snapins-ai_3665014652564209723.jpeg
 
Kakimbia Mbeya Mjini.
Iligawanywa makusudi, ili spika achukue jimbo. Lol
 
Kakimbia Mbeya Mjini.
Iligawanywa makusudi, ili spika achukue jimbo. Lol
Pia agengombea Mbeya mjini kwa sharia hizi za uchaguzi zilizopo angetoboa vizuri hata kwa kuforce.

Ila kuna ile raha ya kushinda uchaguzi kihalali.

Kwahiyo kule Uyole ndo amekuwa akiwajengea tujumba na kuwasaidia mikopo .

Hivyo pobability ya kushinda kihalali itakuepo tofauti na angeforce Mbeya mjini
 
Back
Top Bottom