Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Mgombea ubunge wa Uyole kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Tulia Ackson amesema atahakikisha barabara ya Juhudi mpaka Ilemi inajengwa kiwango cha lami ili kuondoa adha kwa wananchi katika msimu wa mvua.
Dk Tulia amesema hayo leo Ijumaa Oktoba 3, 2025 katika mkutano wa kampeni wa kuomba kura kwa wananchi na kueleza ilani ya uchaguzi 2025-2030.
Amesema awali akiwa mbunge Mbeya Mjini alihaidi kujenga barabara ya mapelele ambayo tayari imekamilika sambamba na ujenzi wa kituo cha afya