Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Chadema Taifa Dokta Wilbroad Slaa, amesema kuwa kwa sasa hana nia ya kugombea nafasi yoyote ya uongozi ila atabaki kuwapigania wananchi.
Slaa ameeleza hayo wakati wa mahojiano maalumu baada ya kuzuka kwa tetesi zinazoeleza kuwa kurejea kwake Chadema ni kutaka nafasi ya uongozi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Aidha amewasihi watanzania waendelee kukiunga mkono Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), katika kuwasemea wasio na sauti.