Safi sana mzee, hiyo tu kurejea Chadema imenionyesha kuwa huyu mtu ana ndoto ambayo bado hajaona ikitimia nje ya chadema, aonganishe nguvu na viongozi wa sasa wa chama hata kwa kuwashauri, najua ana mengi mno ya kusaidia kuijenga chadema na taifa kwa ujumla, hata magufuli alimuona hivyo, sisi ni nani tumpinge?