Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
You can say that again.Adi sasa tumeshajua wasojulikana wanatumwa na nani
Ilikuwa inajulikana ila sasa ameamua openly kujianika hadharani malkia wa Wasiojulikana.Adi sasa tumeshajua wasojulikana wanatumwa na nani
Dah sema washauri washaurii aisee kweli mtu anajibu vile?Ilikuwa inajulikana ila sasa ameamua openly kujianika hadharani malkia wa Wasiojulikana.
Hivi timu yao yote wameshindwa namna ya kujibu hoja zake japo hata kwa kuungaunga au ndiyo wanaogopa ule mkwara wake wa kwamba atakayejaribu kujibu ndipo atakapomwaga data za kuitikisa nchi, nakumbukuka alivyotumbulia data Makonda/Bashite wakati wa kalinyekalinye lao na alivyomuumbua Slaa sababu zake halisi za kutoka CHADEMA.Wanaupiga mwingi nje ya Uwanja Kapteni wao haeleweki anacheza nini kila pass anayopewa anabutua uelekeo wowote ule.
Hakuna aliyejibu hoja ya Gwajima. Maswali ya Gwajima yamekuwa Magumu sana kujibiwa. Wanapuyanga tu kama kuku alokatwa kichwa akaachiliwa akimbie..
Wanamshambulia Gwajima badala ya kushambulia hoja zake. Ni ukosefu wa akili na uelewa. CCM wapo nyuma kwa bao tatu na bado wote wamerudi nyuma kulinda lango lao. Wanapoteza muda na kila mara wanatoa mpira nje na kucheza rough zisizo na msingi.
Kocha wao naye hajielewi anabwatuka tu kuwa wacheze rough watoe mpira nje. CCM wanaonekana hawana namna ya kujibu mashambulizi yanayoelekea langoni mwao zaidi ya kuruka ruka na kubutua mpira. Gwajima anacheza kwa utulivu mkubwa akiwasoma wapinzani wake. Anacheza kwa kujiamini.
Mi namshauri Gwajima aende Chadema. Huko ataongea meeeeengi na watamuelewa. Huku CCM kazi yetu ni kuwaletea maendeleo Watanzania. Sio kuropokaropoka!😅😅😅😅
Baada ya Gwajima kuielezea umma kuhusu utekaji na mauaji kwa wale wanaoikosea Serikali, Mhe. Rais ametoa kauli ya kuwaondoa kwenye mchujo wa kura za maoni ndani ya CCM hakina Gwajina na wengine wenye mtazamo wa Gwajima.
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
View attachment 3351554
KIFO NI KIFO TU hii kauli kumbe haikuwa bahati mbaya!
Kuwa uwezekano wale intellectuals waliomo ndani ya timu yao hawapewi nafasi ya kusaidia au nao wameamua kujitenga na hili sakata la utekaji na uuaji kwa kuwa hawakubaliani nalo.Dah sema washauri washaurii aisee kweli mtu anajibu vile?
Hivi timu yao yote wameshindwa namna ya kujibu hoja zake japo hata kwa kuungaunga au ndiyo wanaogopa ule mkwara wake wa kwamba atakayejaribu kujibu ndipo atakapomwaga data za kuitikisa nchi, nakumbukuka alivyotumbulia data Makonda/Bashite wakati wa kalinyekalinye lao na alivyomuumbua Slaa sababu zake halisi za kutoka CHADEMA.
Kwenye upande wa kuzisaka details muhimu pale inapobidi jamaa yuko vizuri na uwasilisha wake kwenye hadhara ni top level, bila apparatus zote za wasiojulikana wakishirikiana na partners wao in crime ambao ni CCM, serikali pamoja na wanaojulikana ku-team up kumkandamiza kiharamia naona mshangazi ukiachwa uchi hadharani kwa kuumbuliwa udhalimu wake, wizi wake, ubadhilifu wake, unyonyaji wake kwa Tanganyika na kwa Watanganyika, unduli wake pamoja na aina zote za utesaji anaouongoza especially dhidi ya Watanganyika. Jamaa atakuwa na the whole room full of detailed information, keenly let’s wait and watch.
Binadamu wengi wanaume akibadilika tabia kutoka upole kwenda ukatili inadhaniwa kaharibiwa na mkewe. Jee wanawake nao? Au wenyewe ni waume zao? Lakini Gentleman mbona anaonekana mpole sana? Sasa nani kambadilisha #1?Ilikuwa inajulikana ila sasa ameamua openly kujianika hadharani malkia wa Wasiojulikana.
Na ndo mnakoongoza kwa kuropoka ropoka kama mropoko wa jana. Mnazidi onesha woga wenu kwa Gwajiboy. Wewe papai bovu huwezi mjibu Gwajima na wenzio. Mnarendemka tu macho na kulegeza viuno.Mi namshauri Gwajima aende Chadema. Huko ataongea meeeeengi na watamuelewa. Huku CCM kazi yetu ni kuwaletea maendeleo Watanzania. Sio kuropokaropoka!
Kile kitu kitakuwa na kitu ambacho ukikikalia lazima mwenendo ubadilikeBinadamu wengi wanaume akibadilika tabia kutoka upole kwenda ukatili inadhaniwa kaharibiwa na mkewe. Jee wanawake nao? Au wenyewe ni waume zao? Lakini Gentleman mbona anaonekana mpole sana? Sasa nani kambadilisha #1?
Dogo mbona povu? Mama kamjibu jana. Sasa kama huyo Gwajima ana ubavu, nae amjibu Mama tuone.Na ndo mnakoongoza kwa kuropoka ropoka kama mropoko wa jana. Mnazidi onesha woga wenu kwa Gwajiboy. Wewe papai bovu huwezi mjibu Gwajima na wenzio. Mnarendemka tu macho na kulegeza viuno.
Mama yako anahusika na nini? Maana sijasikia kama kuna mtu kajibu hoja za Gwajima. Samia mwenyewe hakuweza jibu kitu kaishia kutokwa mapovu tu. Mama yako alijibu mkiwa kwenu?Dogo mbona povu? Mama kamjibu jana. Sasa kama huyo Gwajima ana ubavu, nae amjibu Mama tuone.