Dkt Abasi ajipanga kupokea watalii Milioni 5 kufikia 2025. Lakini je miundombinu yetu inaruhusu?

Dkt Abasi ajipanga kupokea watalii Milioni 5 kufikia 2025. Lakini je miundombinu yetu inaruhusu?

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi amesema hivi karibuni kuwa hakunakitazuia serikali ya mama Samia kufikisha watalii watalii milioni 5 ifikapo mwaka 2025.

Soma pia: Hongera Rais Samia Kuzindua Filamu ya Royal Tour Marekani, Ingenoga Zaidi Kama Mama Angetua Marekani na Dreamliner

Akizungumza Oktoba 28, 2024, katika Chuo cha Ulinzi cha Taifa (NDC) jijini Dar es Salaam, Dkt. Abbasi aliwasilisha mada kuhusu mchango wa sekta ya utalii katika maendeleo ya Taifa kwa washiriki wa Kozi Fupi ya 13 kutoka nchi zaidi ya 20, hasa kutoka Afrika na Asia.
Abasi.png

Kwa dunia ambayo miaka minne nyuma tulikuwa tumelizwa na athari za COVID this is a very bold statement to make!

Ukienda maeneo kama Moshi bado kuna sehemu nyingi hata barabara za lami hazijafika. Hao watalii Milioni 5 watapita wapi?
 
Back
Top Bottom