johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Ni kweli kabisa .Msemaji mkuu wa serikali Dr Abbas amesema uwekezaji mkubwa katika miradi ya kimkakati iliyozalisha ajira lukuki ndio sababu kuu ya kupaisha uchumi wetu.
Dr Abbas amesema miradi kama SGR na Stiglers Gorge imekuwa kichocheo cha ongezeko la ajira nchini.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa......... Labda!Kwakuwa yeye ana ajira mbili anaona kila kitu saafi tu, hizo pumba zake anazotapika ndo zimempa ajira mbili
π πππ€£πππKweli ajira zimeongezeka. Mpaka yeye kapata kazi mbili (Katibu wa Wizara ya Habari & Msemaji wa Serikali)
Wewe utakuwa umetumwa na mabeberuHuyu msemaji bora angekaa kimya, analeta utani mbele ya vijana wanaosaga lami mitaani na vibahasha vya CV, Hakuna ajira!
Mwakyembe ajiangalie ataporwa wizara na huyu jamaa , Magufuli anataka wenye kusifu na kuabuduAbasi Anadhani tupo mwaka 47